Hivi haya mafuta ya scrub yanaitwaje?

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
12,956
22,647
Niaje wakuu hivi yale mafuta wanayopakaga usoni kwenye scrub yanaitwaje....? nna shida nayo sana mwenye kujua msaada na hata ukijua bei zake itakua poa sana msaada wakuu.
 
Ziko face scrub na body scrub za aina nyingi mkuu ni vizuri hasa ukajua unataka ipi ndio unaweza kusaidika bei.

Kwa kuanzia ngoja nikupe scrub ya asili

Kijiko kikubwa sukari ya brown + kijiko kikubwa mafuta ya nazi + asali

Changanya vyote sugua uso wako taratibu uache kwa dk 15-20 unawe na maji ya vuguvugu,kisha umalizie na ya baridi ili kufunga vitundu vya ngozi, Mbadala wa sukari unaweza tumia chumvi ni nzuri pia.

Natumaini nimekusaidia kidogo.
 
Ahsante sana mkuu
 
Niaje wakuu hivi yale mafuta wanayopakaga usoni kwenye scrub yanaitwaje....? nna shida nayo sana mwenye kujua msaada na hata ukijua bei zake itakua poa sana msaada wakuu.

Nunua brembo mkuu, hutojutia hela yako.
 
Back
Top Bottom