Habari wanajamvi,
Nimekuwa nikitafuta mafuta ya massage kwa muda mrefu sana bila mafanikio, ningependa kujua ni mafuta gani ambayo ni bora zaidi kwa kufanyia massage na nikijua na bei itakuwa...
Kope nazo humpendezesha mwanamke kuna aina ya rangi za kupaka kwenye kope, lakini zinatofautiana. Ni vyema ukawasiliana na wataalamu wa mambo ya urembo kwa ushauri na siyo kukurupuka. Siyo...
Nywele zangu ni ngumu na zinavozid kukua zinakuwa brown in colour.
Kama kuna anaejua mafuta mazuri ya kuzifanya ziwe rahisi hata kuchanika anitajie (lain na kuretain colour)
Kumbe bwana hata waafrica tuna nywele ndefu tu kama wazungu
Hii thread Ni maalum kwa watu wenye nywele natural I mean tunaotaka nywele ndefu bila dawa aka relaxer
Hapa tutashare uzoefu Nini Cha...
Wakuu wasalaam.
Kheri ya mwaka mpya. Mwenyezi Mungu akatujalie afya njema na mafanikio tele 2021.
Ndugu wana JF, natafuta hizi sabuni aina ya ALFA kama inavyoonekana Pichani. Hizi sabuni...
Sijui nina tatizo au la, ila mimi nachukia sana kuona mwanamke kavaa kyupi,
Na vise versa naenjoy kuona KE akivaa boxer, nakua na amani
Nakumbuka mwaka fulani nilikua na date na tom boy yeye...
Katika matukio yaliyotrend week iliyopita moja wapo ni wedding reception ya Mboni Masimba,mwanamama machachari mwenye kipindi chake TBC -Mboni talk show.
Mboni aliolewa na bwana Tajiri mwezi mmoja...
Nawasilisha kwenu wakuu. nimekuwa na safari nyingi na mwili umechoka sasa. Kama sio Magomeni basi iwe karibu.Au kama una contacts zao nimlete hapa kwangu.
Hali zenu wote wana JF.
Zifuatazo ni body scrub zitakazokutakatisha mwili,matumizi yake ni kila wiki mara moja.
[emoji254]UNGA WA KAHAWA NA MAFUTA YA NAZI.
vichanganye vyote ivo upate ujazo ambao...
Sina hata haja ya kusalimia,
Kama kichwa cha habari kinavyo sema, naombeni mueleze wazi kabisa kwanini nyie wanawake mkisha olewa mnajisahau na badala yake mnakua rafu sana? Kila saa makanga kila...
Bandugu nina wahi sana kuota ndevu na masharubu(timba) yaani nikinyoa hazipi siku tano yashajaa tena haswa haswa hizi timba ndiyo kero kabisa.
Nikisema nikae mwezi bila kunyoa unaweza sema...
Je unaujua mfuko mdogo katika suruali yako ya Jeans? Ndiyo, ule ambao umeshonwa juu kidogo ya mfuko mkubwa wa kulia.
Umewahi hata mara moja kusimama na kujitafakari kwa nini huo mfuko mdogo mbele...
Baadhi ya wanawake/kinadada ni janga. Unakutana na mwanamke kwenye daladala sjui ni wigi linatoa uvundo ama ni yeye mwenyewe basi ni karaha tupu.
Ukimuangalia usoni make up ya maana! Mkononi...
Hawayuni wakuu, mko poa! mimi huwa nanyoa kipara mara nyingine kwa mashine mara nyingine nanyolewa na kiwembe, shida moja japo watu huniambia upara wangu uko sawa lakini mimi napenda ung'ae uwe...
Habari zenu wapendwa?
Poleni na majukumu nipo Dodoma mjini natafuta fundi anayeshona vizuri nguo za kike nataka nishone nguo ya shughuli, naombeni anayemfahamu kwa hapa Dodoma anielekeze mahali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.