KUTOKA KWANGU: Mitindo mbalimbali ya milango ya mbele ya nyumba

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Messages
2,261
Points
2,000

miss zomboko

JF-Expert Member
Joined May 18, 2014
2,261 2,000


Mlango wa mbele wa nyumba unakuwa katikati ya nyumba na ndio unaowakilisha mvuto wa nyumba kwa hivyo muhimu uwe maridadi. Wengine wanapendelea kuweka glass panels kwenye mlango wa mbele kama hivi kwa ajli ya kuongeza mvuto na mwanga ndani.

Swala la security kwa hapo kwenye glass sio issue kwa ajili kwa ndani kunakuwa na chuma, na wengi wetu tunaweka mlango wa mbao pamoja na grill.

Milango hii ipo ya malighafi na designs nyingi mno wewe tu ushindwe, ipo ya chuma ambayo ikiwa imepakwa rangi kabla hujaigusa huwezi kutofautisha na mbao. Hii ya hivi inauzwa imeshatengenezwa na huwa kwa wale ambao kwa security wanaweka milango ya mbele miwili pamoja (wa chuma na wa mbao) endapo utaweka hii ya chuma huna haja ya kuweka tena wa mbao wala grill.

Mlango wa mbele huwa ni mpana kuliko milango mingine kwa kuwa upana wake ni sawa na upana wa corridor uliopo.Designs mbalimbali za milango ya mbele, hii imezibwa kote kote haina glass panelsAngalia glass panels za huu zilivyokuwa na shape moja na handle zake, unavutia
Chanzo; Vivimachange
 

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
37,059
Points
2,000

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
37,059 2,000
hapana. hata simfahamu
Nishawahi kuiskia hii milango ya chuma. Kuna jamaa alinisimulia nyumbani kwake Kibada kigamboni majambazi walim-tight getini wakaingia nae ndani, mke wake akawahi kukimbilia chumbani na mtoto mchanga akajifungia,chumbani wameweka huo mlango. Majambazi wakashindwa kuvunja na alipoingia huko akachukua gobole akaanza kufyatua dirishani ikabidi majambazi wakimbie!
 

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Messages
22,707
Points
2,000

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2015
22,707 2,000
Nishawahi kuiskia hii milango ya chuma. Kuna jamaa alinisimulia nyumbani kwake Kibada kigamboni majambazi walim-tight getini wakaingia nae ndani, mke wake akawahi kukimbilia chumbani na mtoto mchanga akajifungia,chumbani wameweka huo mlango. Majambazi wakashindwa kuvunja na alipoingia huko akachukua gobole akaanza kufyatua dirishani ikabidi majambazi wakimbie!
Ahahaaa kama movie
 

Ngadu01

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2016
Messages
295
Points
500

Ngadu01

JF-Expert Member
Joined May 4, 2016
295 500
Kazi mziru mi nna mlango mkubwa pia front window yangu ni 9x9 ambayo pia unaweza kutumia kama mlango japo sio rasmi mimi mwenyewe huwa sipendelei wafanye hivyo
 

Forum statistics

Threads 1,344,049
Members 515,315
Posts 32,806,044
Top