Natafuta lotion nzuri ya kurudisha ngozi asili

wenalitha

Member
Apr 24, 2016
60
48
Kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu mi ni binti ila katika ukuaji bahati mbaya nilijikuta nimeshaurika na kutumia lotion za kubadili mwili.Ila tangu nimejitambua kwa kweli najichukia mno si kwamba bado natumia cream la hasha ila lotion nyingi nazotumia hazinipendi nami nataka niwe na rangi yangu halisi yenye mng'ao mzuri.Naombeni mtu anisaidie jina la lotion ambayo haichubui na itayonipa ngozi ya mwonekano mzuri but isiwe za nazi cause nyingi nishazijaribu huwa zinanitoa mapele.
 
Hebu niambie yaliyokukuta vipi ngozi iliungua baada ya kujibadili?
 
Wasiliana na kupitia namba 0764280367. Atakusaidia Sana ni dada yangu huyo yupo tabata bima kama upo mkoani atakutumia pia.... Ila Ken bei jiandae kidogo kuanzia 60000 iv.. Ntakuambatanishia na baadhi ya picha..... Wengi naona wamepata majibu mazuri aiseee... Vipodozi vyake vinatoka UK na canada ambavyo havina sumu kabisa na vimethibitishwa na tbs mpaka laki mbili
 
027cbe592fdb7e211812ab49d1b86945.jpg
 
toning na bleach ina tofauti gani?
Hiyo inafahamika Kama Clare difference ya USA hiyo... Ila haichubui zaid ya kusoftisha ngozi tu..... Kwa mfano ukitaka ung 'ae kidog tu unaweka na makali ambayo inauzwa laki tatu na nusu..... Hiyo yenyew 80
 
Back
Top Bottom