Kiukweli japo wanasema uzuri uko machoni mwa mtazamaji, lakini to some extent tunaweza kukubaliana kuwa msichana fulani ni mzuri sana, mzuri kiasi au wa kawaida.
Sasa tatizo unakutana na msichana...
Jamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge...
Mara kadhaa ukipanda Ndege za Shirika fulani (jina kapuni) unakuta Ma-Air Hostess ngozi zao ama zimekakamaa kama mamba au rangi zaidi ya moja kutokana na mkorogo.
Tujifunze angalau hata kwa wenzetu.
Mzuka wanaJF!
Yani gauni tu gharama yake ni zaidi ya kiwanja, zaidi ya IST ada za shule za watoto kadhaa. Wote tu tutarudi mavumbini. It's fundamentally wrong and totally unacceptable to spend...
Wakuu,
Mtindo wa maisha unabadilika kwa kasi sana,Mojawapo ya mitindo ni wanawake kuvaa saa za kiume mkononi.
Je unadhani mwanamke anapendeza zaidi akivaa saa ya Kike au ya kiume? na ipi...
Nilikuwa nimesiti zangu sehemu fulani hapa katikati ya jiji. Pembeni yangu kulikuwa na majamaa wawili walikuwa wamekaa pia sasa mmoja nikasikia anamuuliza mwenzake kwamba "vipi mbona unavaa...
Sijawahi kuona brick-and-mortar store yoyote hapa Dar na Tanzania kwa ujumla, ya luxury brand yoyote ile.
Lakini huku mitaani utaona watu wamenyuka pamba za Moschino, kapelo za Gucci, mikanda ya...
Huu ndio ukweli wangu toka nizaliwe sijawahi kuonamwanamke ananuka miguu au soksi je nikwasababu wanawake ni wasafi? Au ni kwasababu hawavai Soksi mostly ni open shoes?
Ni mchumba bado sijamuoa sasa basi, kuna sherehe tumealikwa inabidi niende naye sasa ananilazimisha nivae sare na yeye. anishonea shati la kitenge
Sasa wadau hii ishu siielewi nimekataa kanuna...
Naombeni kuuliza.
Kuna mafuta ya nywele ni meusi kama kiwi, ukiyapaka nywele zinakolea weusi, na ukiziosha zinarudi kwenye hali yake. Yanaitwaje hayo mafuta?
Mimi naona kuna watu wanapaka makeup mpaka nashangaaa...Yaaani nawaza hichi kitu gani?
Au labda ni macho yangu tu...Yaaani unakuta mtu kapaka makeup badala ya kuehance beuty inakuwa tofauti...
Scroll any social media you want for a minute and you will likely to come across a bu$t enlargement creams or pills for sale. While most if not all of these creams are not approved by the...
Kwa muda mrefu tunajua kwamba maji, matunda, jua la asubuhi na jioni na vipodozi ndio msingi mkuu wa afya na urembo wa ngozi. Ili kuwa na ngozi laini, inayong'aa na kuvutia zaidi inabidi...
Habari warembo
Kwa mwenye kufahamu sabuni, na mafuta ambayo hayachubui kwa ajili ya uso na ngozi kwa ujumla, naomba anifahamishe,
Kwani uso wangu unamafuta mengi na kupelekea Kuwa na vichunusi...
Nahitaji kujua aina ya mafuta ambyo nikipaka ngozi yangu itakuwa nzuri ya kung'aa siitaji mafuta yanayochubua nahitaji nibaki kama nilivyo ila niwe soft
Salam ndugu na jamaaa.
Naomba kujua Kama itamletea shida akikua huyu mtoto, sikusudii atobolewe masikia Kama ilivyo kawaida ya wanawake wa kwetu.
Labda anaweza kutulaumu huko mbeleni kwa vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.