Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,162
- 705
Kwa muda mrefu tunajua kwamba maji, matunda, jua la asubuhi na jioni na vipodozi ndio msingi mkuu wa afya na urembo wa ngozi. Ili kuwa na ngozi laini, inayong'aa na kuvutia zaidi inabidi kuzingatia zaidi lishe bora, maji na matunda ya kutosha; hususan ndizi na maparachichi.
Epuka jua kali, kwani jua kali ni miongoni mwa sababu za ngozi zetu kuharibika na kuzeeka haraka.
Kitu muhimu pia ni vipodozi vyenye ubora, ufanisi na usalama unaotakiwa. Watu wengi zaidi wameharibu ngozi zao kutokana na vipodozi visivyo salama, na wengine wameshindwa kupata matokeo kutokana na vipodozi visivyo na ufanisi au ubora kwa madhumuni waliyoyakusudia.
Siri kuu za kuwa na ngozi nzuri na yenye mvuto ni
1. Vipodozi salama, vyenye ufanisi na ubora unaotakiwa
2. Kutumia vipodozi vinavyoendana na ngozi yako (ngozi kavu, ngozi ya mafuta, ngozi ya kawaida nk)
3. Chakula bora, matunda na maji ya kutosha
4. Usafi wa mwili na ngozi, ukijumuisha kuua vijidudu vinavyoweza kuleta madhara na uharibifu kwenye ngozi
5. Kuepuka mwanga mkali wa jua. Hapa unaweza kuvaa miwani, kofia ya bongoman na kuepuka kuwa maeneo ya jua kali kwa muda mrefu
Tukizingatia mambo hayo yote basi urembo na mvuto wa ngozi itakuwa ni haki yetu.
Kwa watakaohitaji msaada wa majina au sehemu za kupata vipodozi salama, bora na vyenye ufanisi unaotakiwa na vile vinavyoendana na ngozi zao basi mimi naweza kuwasaidia. Ni mtaalam wa masuala ya urembo na vipodozi.
Mawasiliano : O 659 528 724 na 0 784 082 847