Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Miaka mingi sasa natumia hii deodorant, na kwangu imekuwa bora kuliko zote nilizowahi kujaribu. Nimeshatumia Old Spice, Gillette, Adidas, Fa na nyingine kadhaa, lakini bado Nivea Fresh Energy...
8 Reactions
46 Replies
887 Views
Kwa mara ya kwanza kabisa tangu nakuwa mtu mzima najikuta nakojoa nikiwa nimekaa bila kugusana na uchi wa mwanamke, sio memba wa CHAPUTA ila sperm zilipita huku akili ikiwa imestuck na misuli ya...
15 Reactions
118 Replies
28K Views
Sababu bahati mbaya sasa hivi sisi wengi tuna mkwamo. Unakuta bosi ndio kama mimi wa miaka 70, mtoto kazaliwa 92, 95... Mimi nikifika pale, kwanza naangalia: "Wewe umevaa vipi sasa?" Si kitu cha...
3 Reactions
6 Replies
270 Views
Mafuta haya hutokana na tunda lenye asili ya India liitwalo amla. Mafuta haya yana faida nyingi mno kwa ngozi na nywele. Baadhi ya faida zake ni: 1=Hujaza nywele 2=Huzuia nywele kukatika na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni mkulima mdogo kutoka mkoa X, nimechungulia pia kwenye fursa ya ushonaji, kudalizi pamoja na kudizain nikiwa na lengo la kufanya uwekezaji mdogo kupata kiwanda kidogo (small garments)...
2 Reactions
1 Replies
64 Views
Salaam. Wapenzi wa manukato nimewaandalia list ya Perfume maarufu (na zenye bei mbaya) na clones zake zinazofanana kwa asilimia 60 mpaka 90. Unaweza kuwa ni mpenzi wa perfume fulani lakini hali...
13 Reactions
161 Replies
11K Views
Ni rahisi sana kukutana na wadada wazuri hata 20 kwenye trip moja ya daladala ila wakaka ma handsome tuko wachache sana kwa kweli. hii inamaanisha sisi ni badhaa adimu ndio maana wadada...
4 Reactions
35 Replies
556 Views
Baada ya kuangaika kutafuta perfume bora ya kiume kwangu hii ndo bora kuliko mzigo unaitwa SAUVAGE ELIXIR tena upate original huu mzigo ni balaa achana na zile za kkoo huwa nikienda mishemishe...
49 Reactions
328 Replies
28K Views
Nimetoka kuoga wakati napaka Lotion nilikua mbele ya kioo gafla nikajiona kwenye kio nikiwa mtupu Hapo hapo nikajiuliza hivi ingekuaje kama tungekua tunatembea utupu bila nguo hivi maisha...
27 Reactions
491 Replies
4K Views
Piga collagen ifute chunusi na ikupe glow ya ukweli kutoka ndani!
2 Reactions
1 Replies
211 Views
Asalam waleykum......Wakuu nataka nifuge nywele kama za Tundu Lisu naombeni ushauri wenu
5 Reactions
26 Replies
432 Views
Nguo nyeupe kuwa na doa kama la nyanya, matope au umejimwagia soda huwa inakera sana. Lakini usiwe na wasiwasi mimi hutumia mbinu hizi kuondoa madoa bila stress. Twende pamoja; Kwanza epuka...
3 Reactions
2 Replies
272 Views
Hivi wale watu wanakuaga na viuno laini ni wanakua wamezaliwa hivo walaini au ni mazoezi ?Kama ni mazoezi ni yapi hayo waweza kufanya kiuno kiwe laini.... Napenda hiyo shughuli kucheza, kutwerk...
19 Reactions
243 Replies
75K Views
Wakuu habari za wakati huu Naombeni mnipe location ya vinyozi wazuri mtaani bei kitonga (achana na izi babershop unafutwa na mataulo ya maji bei juu😅 Kipindi nipo maeneo ya mikocheni nikuwa...
6 Reactions
47 Replies
673 Views
Uzi huu ni kwa ajili ya watu wa mazoezi wanaoenda gym au wale wanaofanya mazoezi makali iwe ya kukimbia, mazoezi ya viungo au high intensity interval training (HIIT) au kunyanyua vitu vizito. Je...
11 Reactions
172 Replies
1K Views
Wenzangu wenye kipilipili mnafugaje nywele zikue na zisikatike, nimepambana kutumia mafuta mbalimbali nayoona yanatangazwa lakini wapii Ninazigharamia kuziosha, stiming nk lakini wapi, sijui...
6 Reactions
19 Replies
379 Views
Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae...
7 Reactions
4 Replies
352 Views
Haya magauni ndio fashion ya siku hizi. Ni kama yamekaa kihuni/kimalaya zaidi. Unakuta mgongo wote uko wazi. Mwanamke ukivaa hivi jua wanaume tunakuona malaya tu. Niiteni mshamba ila hilo ni...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Kuna jambo ambalo binafsi huwa linanikera sana; kuona mtu amevaa nguo lakini nguo za ndani zinaonekana wazi. Kwa upande wa wanawake, wengine huvaa nguo nyepesi au zinazobana kiasi kwamba chupi...
15 Reactions
131 Replies
1K Views
Back
Top Bottom