Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Vazi la T-shirt/blauz na jeans waachieni watu wembamba na wenye miili ya mazoezi iliyojengeka vyema. Wanene na wenye vitambi angalieni namna ya kutafuta vazi lingine la kuvaa. Kama ni mwanaume...
7 Reactions
78 Replies
3K Views
Habari za muda wana jf. Kwa wale wapenzi wa workouts, jogging, lifting weights, HIIT cardio na abs hapa ni jukwaa letu sahihi la kujadili ana na kubadilishana mawazo. Kwenye platform mbalimbali...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Hivi ninawezaje kuanza kuwa kuwa clothes designer. Usharudi.
2 Reactions
1 Replies
102 Views
Shikamoon wakubwa zangu Wadogo zangu,hamjambo. Leo niongee kitu cha tofauti kidogo,hususani kwetu Sisi wanawake, mm mwenyewe si msichana tena,hata mamangu mara nyingi ananihusia hili kuhusu...
20 Reactions
201 Replies
2K Views
Wakuu kila nyumba ina harufu ambayo wakazi wameizoea na kuhisi kawaida, ila mgeni ukiingia ndio utaiskia kama ni nzuri au mbaya, iwe ya marashi au uvundo. Kuna nyumba zinanukia vizuri sana, harufu...
7 Reactions
14 Replies
520 Views
Binafsi hua najiskia kunyaa sana nikimuona mwanamke wa aina hiyo. Na kabisa siwezi kumtazama tena na ninaweza hata kubadili uelekeo au kuondoka kabisa mahali nilipomuona. Ni kitu gani hasa...
4 Reactions
11 Replies
288 Views
Kofia kama accessory, wanaume kwa wanawake wanavaa. Nyingi ni unisex. Me napenda sana cap, kichwa kama boga lakini still napenda sana. Challenge kubwa ni joto, jasho linajaa sana nikiwa misele...
10 Reactions
65 Replies
1K Views
Mambo wadau , Hope ni wazima Hii forum mpya nimeipenda, big up Jf Sasa tupieni hapa style za viwalo vyenu. Like huwa unavaa nini ndo unatoka chicha,yani uvaaji wako upoje upoje hivii ukitoka...
4 Reactions
138 Replies
34K Views
Moja ya kitu wanapenda kufanya wanawake wengi ni kuvaa nguo za wenza zao, moja ya nguo huvaliwa zaidi ni Tisheti, japo wapo wanaokwenda mbali zaidi na kuvaa boksa, vesti, soksi, suruali nk ili...
8 Reactions
52 Replies
928 Views
Kumekua na tabia ya baadhi ya wadada kuvaa nguo za ndani za kiume boxers na wameamua kunormalize kabisaa kiukweli hiki kitu upande wangu sikipendi na hata ikitokea nimeingia faragha na msichana...
13 Reactions
47 Replies
764 Views
Salaam wakuu Mtu wangu wa karibu (ke) ana changamoto ya kutokwa na vitundu vidogo vidogo (pores) kama inavoonekana hapo kwenye picha...hiyo ni sehemu ya uso shavuni Akivikamua/akiviminya izo pores...
4 Reactions
34 Replies
677 Views
Mzuka wana jamvi ? Nimeona shati kwenye avatar ya Echolima1 nimevutiwa nalo, la unyama sana mixer ulokwiz hivi naweza kupata wapi kirahisi bongo ?
14 Reactions
59 Replies
996 Views
Zamani nilikua nahangaika sana na vipodozi, mie kutwa napambana na urembo yaani nikisikia hiki ninacho kile natafuta ili tu nisipitwe na fasheni ya urembo mjini. Siku moja nikaambiwa mafuta...
12 Reactions
97 Replies
1K Views
Kama ilivyo kawaida kwamba binadamu tupo tofauti socially, economically, physically, in religion na pia in cultural tupo tofauti. Kwa maana hiyo mionekano yetu inaweza ikasababisha mtu aijue tabia...
4 Reactions
35 Replies
8K Views
Napenda kujua aina ya mafuta au virutubisho gani vinaweza kuza nywele za asili kwa haraka. Napenda ile kichwa iko kama msitu wa Amazon. Hususani kwa wale wenzangu wenye nywele za vifundo/vishungi
6 Reactions
38 Replies
960 Views
Haya maviatu yana matatizo ya akili kwa vijana hivi mjachunguza.
69 Reactions
140 Replies
8K Views
Sidiria unaivaa wiki3 tatu na zaidi kweli? Najua unazo sidiria nyingi tu lakini hiyo unayoipenda zaidi, basi uwe unaifua mara kwa mara walau kuepusha kua kero ya harufu mbaya ya uvundo kwa walio...
2 Reactions
51 Replies
891 Views
Kuna uzi wangu mmoja nilielezea sana namna nilivyokuwa nachomekea shati kwenye suruali. Leo nataka nilelezee kidogo kuhusu usafi wangu wa mwili. Muhimu ni haya mambo 2: 1.Kupiga mswaki, ambapo...
5 Reactions
13 Replies
304 Views
Nikubaliane kuwa mambo yanabadirika sana asee. Kipindi hicho nasoma na hata baada ya masomo mfumo wangu ulikuwa ule ule sabuni ya kuogea ndo hiyohiyo ilifanya kazi zote. Na wala si mimi tu karibia...
2 Reactions
18 Replies
344 Views
Back
Top Bottom