Wanaume mbona mnavamia lotion na perfume za kike

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
698
475
Jamani ya bidi kuwa makini maana kwa sasa wanaume na wavulana wengi wanapaka na kujipuriza lotion na perfume za kike bila aibu mitaani akipita kama hujamwangalia utahisi kuwa ni mwanamke kumbe ni jemba. Wanajf mnaokerwa na hivyo vijitabia hebu semeni ukweli
 
Kumbe lotion nayo inapurizwa?
Nini kinachokujulisha kwamba ni za kike?
Unakereka kwasababu zipi?
 
Kweli umenena ni hawajui jamani na wengi labda wananunu sababu wanapenda harufu badala ya kununua kuwapa wenzo ili wanusie toka kwenye miili yao wakiwa wote
 
Mi nimekukosa kidogo . .
Yani nimekununia tangu siku ukatae kujibu lile swali langu. Ngoja nikulipue kabisa kwamba we ni mmoja wa wanaopurizia lotion na perfume za kike.

Tafadhali usimripue hata kama anajipurizia lotion na perfume za kike...rol

9t 9t dearest!
 
Mi nimekukosa kidogo . .
Yani nimekununia tangu siku ukatae kujibu lile swali langu. Ngoja nikulipue kabisa kwamba we ni mmoja wa wanaopurizia lotion na perfume za kike.

hahahahahahaha mweh mbavu zangu nionee huruma!
Mwenzio hivi vilotion na pafyumu nilipewa dhawadi na mrembo eti kisa nilimwambia napenda anavyonukia lol....
Hivi Lizzy usiniambie bado unayo yale ya siku ile?
Ntafungua thread ya kukuomba msamahaa lol
 
Hahahahaha. . .
Kwahiyo na wewe ndio ukaona ujipurizie kabisa? Siungemwambia unapenda inavyonukia akiwa amejipurizia yeye?

Nakwambia, sijui kwanini nimejaliwa kumbukumbu. Ila mi sitaki samahani, nataka 'kajibu'.
 
hayo si ndio matokeo ya kuingia kichwakichwa kwa hawa watoto wa uswazi! Nashukuru tu hakunipa carlolight lolz......
Wangu lile file ni bora tuchague adhabu unipe ila chichemi kitu, afu nakusemea kwa mod unataka kuchakachua sred ya watu!
 
Hahahahahahaha. . . .ngoja ukute hiyo lotion unayojipurizia kadondoshe caroraiti bila wewe kujua. Utashangaa unageuka pepsi mirinda.

We bana. . . haya kama umekataa katukatu. Ila jua nimenuna.
 
ah kesho narudi kwenye Vaseline yangu!

We nuna Kurwa atanipa dawa yako!
 
Ukiacha caroraiti utashangaa mziki wake, utakua na madoa.

Hhhhm . . . hawezi!!

madoa yakitoka ntapaka mafuta ya breki kama wanavyofanya watu wenye mautangotango!

Ok kama kurwa naye hakuwezi basi duh nmejiingiza kwenye kibarua kigumu zaidi ya nlvyofikiria, ntaongea na ma' big sisy Ashadii, hapo kwisha habari yako!
 
Hahaha. . . labda utumie jiki ndo mambo yatakua mambo.

Hhhhhm huko ndio kabisaaaa, bora Kurwa mara Elfu.
 
Back
Top Bottom