Lady Jay Dee’s Double Undercut Hair Style

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
202
145
Kila mtu mtaani now anaimba NDI NDI NDI wimbo mzuri haswaa na mashabiki wamempokea Anakonda vizuri with her new hit.

11373883_1718049158432707_2084925698_n.jpg


Mbali na kuupenda wimbo we also love her new double undercut hair style ambayo amekuwa aki rock lately. So the style feature the double cuts za huku pembeni na kuacha nywele katikati ya kichwa.

Love this one ina mawimbi hivi
12501895_203654146670143_1660398117_n.jpg


This style also ali rock siku anatoa tuzo za appreciation kwa rafiki waliomsupport kwa muda mrefu sana.But hapa nywele zilikuwa relaxed na alibana kwa nyuma
12081023_1566200547010371_1324443441_n.jpg


A nice bun alipoenda Azam tv kwenye interview
12599391_688396334636413_804032034_n.jpg


then hapa akazibana tu kwa nyuma ,with a simple pony tail

yani one hair style akapata style nyingine kama nne.

Jide hongera kwa wimbo tunasubiri video

 
Back
Top Bottom