Njia tatu za kukunja pocket square

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
202
145
A pocket square ni among the trends zinazobamba now days, men look even more dapper waki add a pocket square kwa their shirts. Click hapa kuona how MC Luvanda styles up with a pocket square.
1.PRESIDENTIAL FOLD.
how-to-fold-a-pocket-square-Presidential-Fold.jpg


Kama picha ivyoonesha, anza kwa kukunja vertically upande mmoja, then shusha chini kutengeneza kabox kadogo, kisha kunja hako kabox kadogo tena kama ulivyo fanya mara ya kwanza.

And done! ukiivaa itaonekana hivi.
how-to-fold-a-pocket-square-Presidential-Fold-2.jpg


2.TWO POINT FOLD.
how-to-fold-a-pocket-square-Two-Point-Fold.jpg


Anza kwa kukunja upande mmoja vertically, kisha ishushe chini iwe kama box, then geuza kwa upande na ikunje ..fuatilia picha..ukishamaliza na kuivaa inaonekana hivi
how-to-fold-a-pocket-square-Two-Point-Fold-2.jpg


3.WINGED PUFF FOLD.
Winged-Puff-Fold.jpg

Winged-Puff-Fold-2.jpg


Fuatilia kama picha, then ukimaliza na kuvaa itaonakana hivi
Winged-Puff-Fold-3.jpg


Pocket square sio lazima kuivaa kwenye suit tu, unaweza kuivaa na shirt lako on a casual day ukienda work, angalia how men wear pocket square casually.
pocket-square-4.jpg


pocket-square-5.jpg


pocket-square-2.jpg


Yes, even women can add a pocket square to their outfits and it looks quite good
pocket-square-3.jpg


pocket-square.jpg


5251730919202.gif
 
Back
Top Bottom