Kwanini Ma- designer wengi ni Mashoga?

samsun

JF-Expert Member
Feb 9, 2014
7,386
5,962
Habari zenu wadau.

Naomba niulize hili swali ni kwanini ma - designer wengi ni mashoga au kama si mashoga basi wamekaa kiulainilaini, kiasi kwamba huwatofautishi na hicho wanachotuhumiwa nacho ?????

Karibu tujadiliane.
 
Sheria ipi? weka mfano wa designer ambaye ni shoga ili ugongelee msumari hoja yako otherwise utakuwa unahoroja.
 
Ngoja nikomenti kabla uzi haujafutwa maana ukimuongelea Kaoge vibaya mods wanapita na uzi
de7a0ed472d515f165fde5023a46e08a.jpg
 
Habari zenu wadau.

Naomba niulize hili swali ni kwanini ma - designer wengi ni mashoga au kama si mashoga basi wamekaa kiulainilaini, kiasi kwamba huwatofautishi na hicho wanachotuhumiwa nacho ?????

Karibu tujadiliane.
Si ndio maana ya urembo, sasa unategemea mrembo akakamae? Lazima awe laini ndio urembo, kudengua, kuwa kama mwanamke and the like. Sawa na wanamuziki lazima uvute bangi , madawa ya kulevya kuweza kufanya vituko mbele ya kadamnasi ya watu! Ukiwa na akili timamu huwezi fanya wanavyofanyaga kwenye stage!
 
Sasa mkuu, ukisikia mwanao wa kiume kaamua kufuata kipaji chake ambacho ni desidner utakubali kweli kwa mambo kama haya ???
 
Nimesoma na mkaka shoga tulikuwa tunakaa naye pamoja hostel tunavua nguo yupo mpaka tunalala wrote tunamficha matron asimuone muda ukienda analala kwetu tunamuwekea godoro chini analala wana roho nzuri story kwa sana halafu alikuwa anatwambia yeye hawezi ...yake haisimami alikuwa peace sana muda mwingi tulishinda Naye sisi halafu pia ni model ana design nguo
 
Hata lorry likifa engine hugeuzwa kuwa tela la trekta

http://2.imimg.com/data2/XP/DA/IMFC...-8b84-354b729da447_newfarmtrailer-500x500.jpg
 
Nimesoma na mkaka shoga tulikuwa tunakaa naye pamoja hostel tunavua nguo yupo mpaka tunalala wrote tunamficha matron asimuone muda ukienda analala kwetu tunamuwekea godoro chini analala wana roho nzuri story kwa sana halafu alikuwa anatwambia yeye hawezi ...yake haisimami alikuwa peace sana muda mwingi tulishinda Naye sisi halafu pia ni model ana design nguo
Anna in short mashoga ni watu social sana tena sana.. Mwanzoni kabla hamjamzoea mtakuwa mnamkimbia kimbia ila mkishamzoea ni watu peace sana.. Na mastori mengi sana .. Tena wengi rafiki zao ni wanawake.. Na wadada wanawapenda sana mashoga.. Ila ukikaa vibaya anakubebea mume... But in short wako poa sana.
 
Teh!, ni kweli they're nice ila hapo red ndo tatizo.
 
Back
Top Bottom