Shea butter ni nini? Ni mmea kutoka wa aina ya kipekee kutoka West Africa. Tunda la mmea wa Shea uwa linatwangwa na kuchemshwa hili kupata Shea butter.
Faida za kiafya na urembo
Shea butter ina utajiri wa virutubisho muhimu vya fatty acids, vitamin E, phytosterols, vitamin D, provitamins A na allantoin. Mchanganyiko huu wa virutubisho muhimu vya organic vinatengeza "superfood" kwa ngozi na nywele zako.
Wasiliana nasi sasa kupata raw Shea butter kutoka Ghana kwa shilingi 25,000 kwa ujazo wa gram 250 (robo).
Shea butter yetu haijachanganywa na kitu chochote.
Follow us on Instagram @kasa_handmade au PM kwa maelezo zaidi.