UWEKEZAJI WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA KILIMO UNA DHAMIRA KUZALISHA AJIRA KWA VIJANA-NDG KAWAIDA
Mwenyekiti Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameadhimisha Sikukuu ya Miaka 59 ya Muungano wa...
Habarini wana jamvi letu pendwa,
Nauhitaji wa kununua kuku wa kienyeji kwa bei rahisi (chini ya Tsh 10,000/=) kama kuna mdau anafahamu sehemu (kijiji/kata, wilaya au mkoa) basi naomba anitajie...
Habari mwana jamvi,
Kama upo humu na unajihusisha na kilimo cha miti ya matunda na maua. Kama upo Tukuyu hebu fanya kunitumia private message hapa Upate hela ya pasaka.
KOMREDI KAWAIDA - HALMASHAURI TENGENI MAENEO YA KILIMO
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohamed Ali Kawaida ameendelea kukagua maendeleo ya mafunzo ya Kilimo kwa vitendo Shambani wanapofanya...
Habari natafuta kifaa cha kupimia ukavu wa nafaka, yaani kupima mahindi au nafaka nyingine zimekauka au zina ubichi kiasi gani
Anayejua vinapatikana na bei zake anijuze
Nianze kwa kukupa pole na majukumu yako ya kitaifa na mwenyezi Mungu akutangulie, sisi wakazi wa bwawa la Mtera tuna maombi kwako tangu mwaka 2019.
Bwawa la Mtera limesitisha kabisa uzalishaji wa...
Wana JF amani iwe nanyi!
Naomba kuuliza, hivi kwenye ekari 1 unaweza kuvuna mchicha kiasi cha pesa ngapi?
Yaani unapata pesa kiasi gani kwenye ekari 1 ya mchicha?
Asanteni.
KOMREDI KAWAIDA - MRADI WA B.B.T USIPOFANYA VIZURI TUTAWALAUMU WIZARA YA KILIMO
Kilombero. Wakati Wizara ya Kilimo ikitekeleza mradi wa Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana...
MHE. NDAISABA GEORGE RUHORO - HABARI NJEMA ZAO LA KAHAWA MKOA WA KAGERA
MASWALI NA MAJIBU WIZARA YA KILIMO
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro ameiuliza swali Wizara ya Kilimo -...
UVCCM YATAKA UDAHILI WA VIJANA BBT UONGEZEKE
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Ndugu Mohammed Ali Mohammed (Kawaida) ametaka juhudi ziongezwe kuhakikisha idadi ya wanaodahiliwa katika...
MOHAMMED KAWAIDA AWAKOSOA WASOMI MRADI WA BBT
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Ndugu Mohamed Kawaida ameitaka jamii kuondokana na dhana kwamba mradi wa Jenga Kesho...
KOMREDI MOHAMMED KAWAIDA ATAKA TIJA KILIMO BBT
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Taifa Ndugu Mohamed Ali Kawaida amewataka vijana nchini kutokidharau Kilimo na badala yake wakikumbatie na...
Hamjamboni wadau.
Naombeni msaada wa kitaalamu. Nina vifaranga wa kuku, wanasumbuliwa na tatizo la miguu. Wanakunja vidole vya miguu na kutembelea viwiko.
Nini ufumbuzi!
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema sekta hiii ipo hoi taabani sana hasa kwenye upande wa waziri na watendaji wake.
Leo tumeona wafanya biashara wanao toa ruzuku ya mbolea wamefutiwa kama...
Habari kwa wanajukwaa. Kwa leo naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Naulizia je huu unaweza kuwa ugonjwa gani hasa kwa vinguruwe vidogo kutoa haja kubwa ambayo inakuwa kama uji uji mwepesi na...
Wajuvi wa mambo heshima kwenu wote!
Nimejikuta natamani Sana kilimo cha karanga baada ya kuona soko lake liko juu, pia nahisi ni kilimo chake ni rahisi.
Karibuni wazoefu mnipe mchanganuo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.