G GM98 Member Joined Dec 9, 2022 Posts 22 Reaction score 15 May 4, 2023 #1 habari wakuu, naomba kuuliza wataalam, hivi biashara ya kulima mahindi ya kuchoma ni ya msimu au unaweza kulima mwaka mzima?
habari wakuu, naomba kuuliza wataalam, hivi biashara ya kulima mahindi ya kuchoma ni ya msimu au unaweza kulima mwaka mzima?
Chance ndoto JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 4,621 Reaction score 10,840 May 5, 2023 #2 Ukifunga mfumo wa drip unalima mwaka mzima. Na pesa iko pale pale hindi moja ni 350-400 utauza.
NDUKI JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 3,440 Reaction score 2,452 May 7, 2023 #3 Ukiwa na chanzo cha maji unalima mwaka mzima mkuu.