Katika Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hususan katika kata zinazopakana na nchi jirani ya Uganda, yaani kata za Mrongo na Bugomora, wananchi ni wazalishaji wakubwa wa zao la kahawa aina ya Robusta...
Ni mfano tu kwa maana sijawahi kuona hadi umri huu.
Chukulia mfano jogoo la kuku lipandane na kanga jike au either uchukue mbegu za jogoo la kuku kisha upandikize kwenye bata,Tausi au kanga jike...
Habari ya wakati huu wakuu. Naomba kuuliza utaratibu wa kuingiza viuatilifu yaani madawa ya kilimo kutoka nje ya nchi. Ninataka kujua mamlaka na vibali vinavyohitajika kabla ya kuleta bidhaa hizo
1. Viongozi wa AMCOS tunatozwa pesa kila tunapoenda kusainisha/kupitishiwa malipo ya wakulima katika chama kikuu MBCU, Kila malipo tunatozwa Meneja Ndg. Paulo Samweli kuanzia 4mil hadi 10mil...
Binafsi huwa najiuliza ni kwanini mashamba makubwa yanafanya vizuri sana. Ninapogusia mashamba makubwa ninamaanisha mashamba ya kisasa. Nimekuwa nikifanya study juu ya makala za kilimo, kuona...
Bila elimu katika ufugaji ni lazima ukushinde. Hapa mzee kwezi alitueleza jinsi ambavyo aliwekeza katika elimu kwa kusafirisha nchi mbalimbali kwaajili ya kujifunza ufugaji wa ng’ombe wa maziwa...
Baada ya kufanya kazi miaka mingi na kuona hakuna kikubwa ninachopata kazini zaidi ya pesa ya kula, kusomesha na kujenga nyumba tena kwa tabu sana, nimeona nifikirie kuanza hivi Mpwa wangu...
Nilikuwa na hamasa sana ya kuanza ufugaji wa wanyama mbalimbali kama kuku, sungura, mbwa, paka, njiwa, na bata. Kwa hiyo, kama sehemu ya mwanzo wa safari hiyo, niliamua kununua njiwa sita...
Unajua? Wafugaji wengi bado hawajagundua siri kubwa iliyopo kwenye ufugaji wa nguruwe. Wakati sekta nyingine za mifugo zikionekana waziwazi, nguruwe mara nyingi huachwa nyuma—lakini kibiashara...
Malipo yanacheleweshwa hii ni baada ya taasisi kurudishwa Serikalini project haziendi kama inavyotakiwa. Pesa zake zinachelewa, waajiriwa wapya mpaka wameondoka miezi 5 hawajalipwa.
Alikuja...
Leo nataka kugusia jambo ambalo linatupa wakati mgumu sisi wadau wa kilimo na ufugaji tunaotafuta mitaji kupitia Mfuko wa Pembejeo (AGITF).
Ukiingia kwenye tovuti ya AGITF (www.agitf.go.tz)...
Mwezi wa Aprili umekuwa mwezi mkubwa zaidi wa Fuga App tangu tulipozindua.
Idadi kubwa zaidi ya watumiaji wapya kwa mwezi mmoja. Wastani wa ukuaji wa 55% kila mwezi. Na sehemu muhimu zaidi ukuaji...
Pikipiki huwa na matumizi mengi sio kubeba abiria tu hata kufanya kazi zingine pia ikiwemo kulima.
Huyu mwamba anaitumia kukamulia michikichi ili apate mafuta ya mawese.
Huitaji kwenda Veta.
Haina uchakataji mwingi: Asali mbichi haijapashwa joto kali, hivyo huhifadhi virutubisho vyote vya asili.
Ina enzymes hai: Ina vimeng’enya vinavyosaidia mmeng’enyo wa chakula na afya ya mwili.
Ina...
Good evening
Leo ninapenda tuandike kuhusu fursa ya kilimo cha papai. Na,hapa nitagusia zaidi kilimo cha papai hybrid.
Katika kilimo cha papai kuna hatua za kuzingatia ili mtu aweze kupata...
Nimefuga kwa miaka kadhaa ,kwa mtu ambaye anataka kuanza serious ufugaji wa kuku 2026 ,ningemshauri azingatie haya
Habari ya mwaka mpya wafugaji wenzangu,
Kila mwaka kuna watu wengi wanaanza...
KUMBUKIZI 📌
Hapa tulipata fursa ya kumtembelea Mzee Hassan Migeto, mfugaji wa ng’ombe wa maziwa kutoka Mkuyuni – Mwanza.
Alitueleza kwa uwazi safari yake ya ufugaji, changamoto alizokumbana nazo...
Nauliza hivi hizi bei za mbolea zilizopanda wakati huu Serikali inafahamu hii changamoto maana hatuoni tena umuhimu wa ruzuku
Maana sasa mbolea ni shilingi 85,000 kwa mbolea ya kukuzia hadi...
🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓
AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA
0781647066
____________________________________________
📠☎️ 0781647066...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.