Wadau,
Nahitaji kulima maparachichi. Kwa mwenye ufahamu zaidi naomba kujua changamoto na nini nifanyeje ili nieweze kufanikiwa.
MASWALI YA WADAU WENGINE KUHUSU ZAO HILI
Kama kuna mtaalamu wa...
Leoo tugusie kidogo kuhusu mbolea. Wakulima wengi hasa wale tuliozoea matumizi ya mbolea huwa tunapenda sana kutumia mbolea kama SA, DAP, UREA nk
Lakini umeshawahi kuwaza kutumia mbolea ya asili...
Salam Wana jukwaa.
Mimi ni mfanyabiashara. Natafuta machimbo ya nafaka Kanda ya ziwa na viunga vyake.
Nataka nipate nafaka kutoka kwa wakulima moja kwa moja au wafanyabiashara ambao Bei zao...
Habari wadau wa JF,kama wewe ni unataka kuanza ufugaji wa kuku na unafikiria uanze wapi?....Jibu ni rahisi anza na Fuga App. Itakusaidia kujifunza na kusimamia shamba lako kiurahisi sana
Ukiwa na...
Nilikiwa kwenye Mkoa wa Kagera ambapo kuna mwenendo unaoongezeka wa wakulima wa ndizi kutumia chokaa katika mashamba yao. Wakulima hao wanadai kuwa matumizi ya chokaa husaidia migomba kustawi...
Wapendwa Habari zenu
Poleni na majukumu ya kulijenga Taifa.
Lengo la huu uzi ningeomba kwa wale waliowai kulima nyanya Mkoani Mbeya tupeane ushauri msimu gani wa kulima na vitu gani vya...
---
🐖📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
Ugonjwa wa Homa ya Mapafu kwa Nguruwe (Swine Pneumonia)
---
🔍 Ugonjwa huu ni nini?
Ni maradhi yanayoathiri mfumo wa upumuaji wa nguruwe. Husababisha shida ya...
Habari za muda huu madaktari....
Nina ng'ombe 2 zinaumwa, ila sijui nini tatizo.
Wa kwanza jike. Dalili alizonazo ni kutoshiba vizuri(tumbo halijai), ila anakula kuanzia asubuhi(saa 3 au saa...
Kwa wale ndugu zangu mnaotaka Mbolea ya kuweka mashambani ili kuwauwa wadudu waharibifu wa mazao yote, nakuyakuza mazo kuwa mengi na kupata faida ya ukulima wako Mbolea ninayo nzuri na yenye...
Asalaam,
Nilikua nataka kuijua kilimo cha ndizi,
Ukiwa na hekamoja pale kiwangwa na Mtaji wa laki tano
1. Unaweza kuotesha mingapi
2. Mda wa rotation
3. Soko likoje
Naishi Mwanza.
Shida imenianza tarehe 3/04/2026. Alianza mmoja hali anasinzia akatapika nikamchinja kesho yaka akaanza wingine nikamchinja.
Kukapoa kama siku 4 hivi.
Leo tarehe 08.04. 2026...
Natafuta ndama wa ng’ombe wa kisasa wa maziwa. Itafaa zaidi wakipatikana mkoani Mbeya.
Kitulo siku hizi wameshindwa kabisa kuendana na demand iliyopo. Hivyo hivyo Uyole wameshindwa.
SOMO FUPI (LILILOFANYIWA UTAFITI):
Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Ng’ombe wa Maziwa
Lengo la somo: Kuwezesha mfugaji au mwekezaji kufanya uamuzi sahihi, wa kitaalamu, na wa faida kabla ya...
Mwanongwa leo nimekatiza Mitaa ya Kiwira Wilayani Rungwe lakini nilichokutana nacho ni aibu sana kwa wilaya huu, yaani wauzaji wa ndizi wanapitia wakati mgumu sana kipindi hiki cha mvua, soko...
Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja.
To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi...
Natafuta miche ya mwarobaini ya kisasa
Nimeiona hiyo miti kwa jirani yangu lakini huko alikonunulia miche wamehama,
Shamba lipo Chalinze, natafuta miche kwa kwa maeneo ya Dar na Pwani
KILIMO BORA CHA MPUNGA:
A: kuandaa shamba
shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow)
Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti
weka mifereji ya Maji vizuvizur
Andaa...
..Kenya wameanza kuachana na Minazi ya kienyeji East African Tall.
..wamekuja na minazi ya kisasa, mifupi, toka India ambayo ina uzalishaji mkubwa.
..Kuna umuhimu wa Tanzania kutafuta mbegu...
“Nilikuwa nafuga, lakini kuna vitu vya ziada nimejifunza — hasa tofauti kati ya kufuga nguruwe kwa ajili ya nyama 🥩 na kufuga kwa ajili ya uzalishaji 🐖📈.
Hilo limenifurahisha sana na nitaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.