MIFUMO YA MASOKO YA MAZAO YA KILIMO
Masoko ya mazao na bidhaa za kilimo ni muhimu kwa ajili ya kuchochea uzalishaji na kuendeleza Sekta ya Kilimo. Aidha, ubora wa miundombinu wezeshi katika...
Habari za mchana wanajf
Leo nataka niwafahamishe kuhusu mnyama huyu aitwaye simbilisi au kwa kiswahili sanifu anaitwa nungu bandia
1. Anakula majani na vitu vyote alavyo binadamu yan...
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Wataalamu wa kilimo huo mwinuko ni rafiki wa mazao gani?
Mwinuko huo mnau weka katika kundi lipi low land au highland.
Lengo langu ni mazao yafuatayo
1. Mahindi...
Tarehe 27 tulifanikiwa wadau wachache kutembelea Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nairobi.
Maonyesho yale ni makubwa sana na very organised ukilinyanisha na zile Nane nane zetu,nilijifunza...
Sekta ya uvuvi imekuwa ni sekta pana inayoajiri asilimia kubwa ya Watanzania inayosaidia vijana kujiajiri na kutatua tatizo la upungufu wa ajira katika taifa letu kwa kiasi chake.
Taifa letu...
Uhitaji ya zao la parachichi unazidi kuongezeka siku hadi siku kutokana na kuwepo kwa viwanda vingi vinavyotumia zao hili la parachichi kama moja ya malighafi za kutengenezea bidhaa mbalimbali...
Maonyesho ya Kilimo ya Kimataifa ya Nairobi ni maonyeeho makubwa mno na ya quality sana, ni sawa na ilivyo sababa saba sasa ile Sababa saba iwe ni ya Kilimo tu pata picha.
Mkulima ni bora...
Heshima kwenu wakuu.
Ninaambiwa na watu kwamba kilimo cha tangawizi kinalipa sana kwa sababu soko la uhakika lipo na ni zuri. Nimeshaelekezwa sehemu ambayo hili zao linakubali uzuri.
Ombi langu...
Msimu huu tukalime
Mambo ya kukaa mjini tukitegemea wanakijiji waliojichokea ndio watulimie chakula, imepitwa na wakati.
Kila mmoja kama ataamua kulima, vyakula vitashuka bei na maisha yatakuwa...
Habari za usiku ndugu katika Jukwaa hili. Nimekuwa njia panda nikijaribu kufikiria kipi ni bora kukifanya kati ya hivyo viwili katika heading hapo.
Hebu tujaribu kupanuana mawazo katika hivi vitu...
Habar naimani wote wazima,
Binafsi n mwanafunz wa mwaka watatu naelekea kuhitimu masomo yangu ya degree ya Kwanza, Ninaa malengo makubwa na kilimo cha miti hususan MITIKI nimejarbu kufatilia...
Nahitaji mbegu za mahindi DKC 777, DKC 90/89 lakini hazipatikani Karagwe, Ngara, Missenyi na Bukoba.
Aliye na taarifa zilipo naomba anifahamishe pamoja na bei.
UKIPEWA SH.10000 UMFUKUZE KANGA KATAA, HUTAMPATA
Tanzania inatajwa kama taifa linaloongoza kwa kuwa na mbuga pamoja na wanyama wengi duniani.
Itapendeza iwapo tutakuwa tukizielewa tabia za...
Habar wanajamvi, nimeona nirudie hii mada kuhusu kilimo cha machungwa, maana nimeona watu wakidanganyana kuhusu kilimo cha machungwa, mimi ni mkulima mdogo wa zao hili na hiki ninachotoa ni uzoefu...
Kinadharia ufugaji wa sungura kibiashara ni jambo lenye kuleta matumaini sana, lakini kiuhalisia ni biashara yenye utata mkubwa sana kwa hapa kwetu Tanzania.
Makampuni mengi yanayohamasisha...
Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nimeona post ya viongozi kugawa majembe ya mkono kwa wakulima huku mkuu wa wilaya akiwataka vijana wakachukue utajiri kwenye kilimo.
Binafsi nimeona hilo...
Habari wanajamvi.
Je, una mifugo inayosumbuliwa na maradhi mbalimbali?
Ningependa tutumie uzi huu kushare picha za wanyama wa kufugwa (ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata n.k)...