Ndugu wadau wa Jamii Forum As-salamu alaykum, Bwana Yesu asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo, Majeshi Majeshi.
Kama mnavyofahamu, viongozi na wadau wengi wenye dhamana ya kufanya maamuzi hupita na kusoma...
Habarini za muda WanaJamiiForums.
Mimi ni kijana ninayesomea udaktari wa mifugo( BVM) chuo kikuu cha kilimo SUA mwaka wa mwisho.
Kwa sasa nipo dar es salaam Kwa mafunzo ya vitendo (Field...
Nimechoka kukaa bila kazi. Kama kuna mwenye dili la kuvuna mahindi au mazao mengine, naomba anielekeze.
Kwa sasa nipo Dar es Salaam na niko tayari kusafiri popote penye kazi. Naomba mwenye...
Nimeona wauzaji wa mbegu kwa ajili ya chakula wakiuza hizi mbegu za maboga zenye rangi ya kijani zinazotoka India. Hizi mbegu wameziachakata hivyo hazifai kuotesha
Nani anajua wapi zinapatikana...
Habari wadau wa jukwaa,ikiwa unaswali lolote unataka kuuliza kuhusu ufugaji wa samaki aina ya sato kwa vizimba (caging) niulize hapa nitakujibu kadri ninavyoelewa kwa uzoefu wangu katika aina hii...
Chama Cha ushirika Tunduru TAMCU viongozi wanatumia vibaya madaraka, wanapeana posho mlima Kama juzi hapa chama kilifanya kikao na wajumbe wa TAMCU ukumbi wa Skyway uliopo Tunduru bageti...
Wafugaji wengi hununua nguruwe bila mpango, wakidhani wote ni sawa β matokeo yake hujikuta wakifanya kazi kubwa bila faida ya kutosha.
Kitaalamu, tofauti ya breed ndiyo huamua:
π kasi ya ukuaji
π...
Pixie Orange ni high value oranges ambazo Bongo zipo zikiwa zinatokea South Afrixa na kuna wakati zinatoka Egypt nahisi kitu kama hicho.
Pixie Orange huwezi zilinganisha na zile chungwa zetu za...
WAFUGAJI WENZANGU, TUJIFUNZE PAMOJA
Moja ya sababu kubwa zinazofanya mayai yasitotolewe vizuri siyo mara zote sababu ni mayai mabovu, wakati mwingine
ni KUKOSA UDHIBITI SAHIHI WA JOTO NA UNYEVU...
Maparachichi ya kisasa kwa Sasa limekuwa zao kubwa sana la kibiashara wateja wanakufuata shambani
Maparachichi yanasafirishwa nje ya nchi mti wa parachichi unakaa miaka 60 yaani kama ilikuwa...
Wasalaam watu wa Mungu,
Pasi na kuchelea twende sanjali kwenye mada.
Uhaba wa mafuta ya kupikia kero ya miaka mtawalia. Ni fursa ya uwekezaji kwa biashara ya muda mrefu hata kwa mtaji mdogo au...
Katika Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hususan katika kata zinazopakana na nchi jirani ya Uganda, yaani kata za Mrongo na Bugomora, wananchi ni wazalishaji wakubwa wa zao la kahawa aina ya Robusta...
Habari zenu,
Uchumi wa nchi yetu unategemea sana sekta ya kilimo na ufugaji hivyo nimeona sio vibaya kama tukisaidiana kuweka softcopy za vitabu mbalimbali vya kilimo na ufugaji ili kusaidia...
Ni mfano tu kwa maana sijawahi kuona hadi umri huu.
Chukulia mfano jogoo la kuku lipandane na kanga jike au either uchukue mbegu za jogoo la kuku kisha upandikize kwenye bata,Tausi au kanga jike...
Habari ya wakati huu wakuu. Naomba kuuliza utaratibu wa kuingiza viuatilifu yaani madawa ya kilimo kutoka nje ya nchi. Ninataka kujua mamlaka na vibali vinavyohitajika kabla ya kuleta bidhaa hizo