Uyu mbwa vp? Ni kwa anaumwa au ndo kazeeka? Coz namuonea huruma sana na km ana vidonda mwili mzima. N
atamani hata ningemchoma sindano ya euthanasia tu apumzike coz anaona anateseka sana hata...
HATUA KWA HATUA UFUGAJI WA KUKU BORA WA NYAMA (BROILER)
Lengo la makala hii ni kukuwezesha wewe mkulima kupata kuku wa nyama wenye uzito sahihi kukuwezesha wewe kupata faida. Hivyo basi wewe kama...
Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu...
Niko mwanza napenda kupanda miti.
Tupeane Location na hii bidhaa ya miti
1.Miche ya Bure✅
2.Miche ya ofa✅
3.Miche ya hela⚠️✅
Nimeanza na mti mmoja wa maembe.
Mwenze miche anipee basi nikapande
Waungwana naombeni msaada tafadha sina utaalama sana, jamaangu ameniazima mashine n tayari nimeshaweka mayai ila naombeni msaada kwe hayo mawili tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndugu zangu,
Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujarbu kusikiliza maoni ya watu ambao...
Mimi ni mtaalamu katika sekta ya ufugaji nyuki, kama kuna kitu unahitaji kujua kuhusu Nyuki na Asali niulize nitajibu kadri ya uelewa wangu. Karibuni. "Without bees man will have only 4 years to...
Habari wanajamii?
Mimi ninafuga Sungura na Njiwa kwa kuwa nawapenda sana ila nafahamu kwamba nikipata elimu ya namna ya kuwafuga kitaalamu au kwa mtu mwenye uzoefu nao naomba anielekeze namna...
Ni mwaka Jana ndiyo nilifahamu kwa mara ya kwanza juu ya uwepo wa tunda liitwalo dragon.
Dragon ni kama jina la "utani"
Jina lake halisi, kama sikosei, ni PITAYA au MSHOKISHOKI.
Uchunguzi wangu...
Dragon fruit ni tunda ghari sana ingawa siku zote naamini kitu kikiuzwa ghari sana una exclude kundi kubwa sana kuto kununua.
Majority ya watu ni wa viapato vya chini. Sasa ukiuza tunda sh...
Dragon cuttings ni moja ya matunda yenye faida nyingi sana mwilini na pia ni very expensive sio tu Bongo bali ni Dunia nzima. Ni wakati sasa kuwekeza sana kwenye hiki kilimo make watu wa kwanza...
Jitihada kadhaa zimeshafanyika bila mafanikio.
Zilipoanza kutafuna nyasi za "garden", ilisemekana kukimwagiliziwa kila siku hilo tatizo litaisha. Hilo limekuwa likifanyika tokea mwaka Jana lakini...
Habarini wanajamvi, poleni na majukumu ya kujitafutia ridhki.
Ninao bata Bukini wanaotarajia kutaga pair 2, yaani majike 2 na madume 2, na Bata mzinga 3 majike 2 na dume 1.
Bata wote hawa nawauza...
Asparagus ni aina ya Mboga vijiti ambazo sana huliwa na watu wa daraja la juu pekee.
Asparagus zinapendwa sana kwa sababu pia ni tiba ukiachana na kwamba ni mboga.
Kuna vatieties nyingi sana za...
Wakuu salamu,
Ninakifahamu kijiji kipo mbeya. Eneo linajoto maana ni karibu na kyela.
Ardhi nzuri Kwa kila zao unalo lijua kama ufuta, Karanga, mpunga , mahindi, ndizi na kila zao unalo lijua...
Kuna kero kubwa ya Konokono kwa Msimu huu wa masika ukipanda mimea wanakula hasa bamia suluhisho sio kuwamwagia chumvi hutawamaliza kwa jinsi walivyo weng solution ni kumsaka malkia wake.
Iko...