mastersajenti
Senior Member
- Dec 4, 2015
- 165
- 24
Eneo la Posta Mpya ni kioo cha Jiji letu la Dar es salaam.Eneo hilo limegeuzwa eneo la biashara za Kijasilimali za kuuza Chapati maandazi supu mahindi ya kuchoma mitumba n.k.Nilitegemea wakati Wa zoezi la usafi la desemba 9, Manispaa ya Ilala ingewaondoa wafanyabiashara hizo Na kusafisha eneo hilo.Kutokufanya hivyo in dhahiri Meya Na Mkurugenzi Wa Manispaa Na Mbunge wanasubiri agizo la Rais au Waziri Mkuu.Viongozi Wa Halmashauri kuweni wabunifu msiwe wavivu Wa kufikiri.Watafutieni eneo la biashara hao Wa Posta mpya.