Salaam wadau,
Mimi ni mgeni kwenye kilimo cha kahawa nimeamua nilime kahawa kama sehemu ya kujiwekeza kupitia kilimo.nauliza zipi changamoto za kilimo cha kahawa na zipi ni faida za kilimo cha...
Jf nimejifunza na kujua mengi. Kwa hili nililoliona nimependa pia kushiriki pamoja nanyi.
Katika pitapita zangu za utafutaji kuna mahala nimekuta kilimo cha mahindi na maharagwe kinakubali haswa...
TUNAUZA MICHE YA MIGOMBA/NDIZI ZA KISASA ILIYO TENGENEZWA MAABARA
Migomba/Ndizi aina ya GRAND NAIN (G-9) hii ni mbegu ya kimataifa.
Aina hii ya ndizi huboreshwa kwanjia za kisayansi maabara...
Fikiri mara mbili kabla hujaamua kufuga mbwa hawa nyumbani kwako.
Airedale Terrier
Airedale Terriers ni mbwa wanaopenda kujitegemea na kuwa huru. Ni mbwa wenye akili sana lakini ni wasumbufu...
Wilaya ya Mufindi Ina fursa ya kilimo Cha mazao mbalimbali hasa ya matunda kama vile peas, parachichi na apples,
NJOO uwekeze uinue kipato chako,
Mashamba yanapatikana
Mawasiliano
What's App...
Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024.
Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea...
Huu ni Uzi maalum kwa wapenzi wa mbwa, wafugaji na wafanyabiashara wa mbwa, wauza madawa na tiba za mbwa, wauza vyakula vya mbwa, na wadau mbalimbali wa mbwa.
KWA MAHITAJI YA VIRUTUBISHO VYA MAX PIG PAMOJA NA VIFAA VYA NGURUWE KAMA VILE #EARTAG#TEETHCLIPPER#PIGNIPPLE#WEIGHTTAPE#MZANIWACHAKULA#
■WASILIANA NASI
0656 446 991
0774 608 608
■DAR ES...
Loe nilipita Super Market ya Village Supermarket kununua maji tu ila nikazunguka zunguka hasa sehemu za vyakula, huwa mara nyingi nafanya hivyo.
Kuna vitu vinasgangaza sana Bongo hii,
Pale...
Msimu wa Kupanda Miche ya Matunda Umefika!
Farm Side Company Ltd, tunakuletea miche bora ya matunda kwa muda mfupi! Tunatoa:
✅ Embe (Tommy Artikin, Kent, Red Indian, Apple Mango, Dodo, Alphonso...
Anayejua gharama za ulimaji mpaka uvunaji
Shamba lako lipo wapi. Gharama zinatofautiana kutokana na eneo ulipo. Nitakupa gharama ninazofahamu mimi kwa mahali nilipo.
1: Natumaini shamba unalo...
Serikali Imeendelea Kuhamasisha ufugaji wa samaki kwa vizimba nchini. Kwa kipindi cha mwaka 2000 hadi 2024 Jumla ya vizimba 222 vilitolewa kwa wananchi 1,213 ambao wanatokana na vyama vya ushirika...
Watanzania wengi tumewekza sana kwenye biashara za kuigana mwanzo mwisho na tuna sahau kuna gap kwenye kilimo cha vyakula wanavyo tumia sana foregners wanao iahi Tanzania.
Na kwenye Kilimo hata...
Kuna vitu ukivitaja unalima au unafanya watu wanaweza kukuona kama umechanganyikiwa jwa sababu kuu 1 tusha zoea yale mambo ya fuata mkumbo yale ya mass, yale mambo yanafanywa na wote.Kama ni...
Habari za muda huu naomba msaada ni tiba gani inafaa kwa kuku wanaofunga macho na kutoa uchafu km maji ya sabuni ya kipande ilio lowekwa. (Ulenda ulenda).
Na huu ugonjwa unatokana na nini pia...
Habari wadau!! Kuna ukweli gani kuhusu utagaji wa hawa kuku chotara aina ya SASSO na Kuroiler!
Inavyosemekana kuwa wanachelewa sana kutaga na hawatagi mayai mengi, kama ukitaka kufuga hawa...
Habari wanajamvi,
Kuna jambo nimeona la kushangaza kidogo katika maonyesho haya ya sabasaba katika banda la Wizara ya Kilimo na Uvuvi, kuna sanamu ya huyu samaki anayeitwa coelacanth au silikanti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.