Nimechoka kuajiriwa, nina Mtaji wa Milioni 5 na nataka kujikomboa kupitia kilimo/Ufugaji. Naombeni Ushauri niingie kwenye kilimo/ufugaji gani kwa kuzingatia mtaji, uendeshaji na urahisi wa masoko.
Nina shamba la hekari 3 na sina uzoefu mkubwa wa kilimo/ufugaji.
Nitashukuru sana wadau.
Nina shamba la hekari 3 na sina uzoefu mkubwa wa kilimo/ufugaji.
Nitashukuru sana wadau.