Kilimo cha Nyonyo (Castor Oil): Ushauri na Masoko.

MJ Dannie

Member
Oct 28, 2015
61
125
Picha tafadhal
Picha kwa hisani ya Google.
images-2.jpg
images-1.jpg
 
Mathenge

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
793
500
Bongo hizi nyonyo huwa zinajiotea makorongoni au maporini kumbe deal aisee ,Sasa hawa wataalam wetu mbona ka wamepotezea fursa hii kuitangaza wananchi wakajipataia kipato! Mpwapwa zinakubali zana hizi kitu mkuu
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,019
2,000
Habarini za mchana wanaJF, naomba msaada wa hiki kilimo. Nahitaji kufahamu ni wap kinastawi vizur kwa Tanzania, ulimaji wake, dawa, mbolea, mavuno etc.

Natanguliza shukrani.
Pia ingia Google utapata details zote,kinastawi mazingira yeyote zaidi kwenye joto, pia sehemu kame,na zisizo na rutuba.soko labda uexport kwenye viwanda vya madawa nje.
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,019
2,000
Bongo hizi nyonyo huwa zinajiotea makorongoni au maporini kumbe deal aisee ,Sasa hawa wataalam wetu mbona ka wamepotezea fursa hii kuitangaza wananchi wakajipataia kipato! Mpwapwa zinakubali zana hizi kitu mkuu
Zinazalisha mafuta kwa ajili ya vipodozi,Urembo,sabuni,mafuta ya kuwashia taa,Magari nk
 
Mathenge

JF-Expert Member
Jan 25, 2013
793
500
Mkuu TIBIM nimekusoma asante ,nilichokua nakijua enzi zetu huko Mpwapwa kipindi cha baridi miguu ilikua ikipasuka kwa kiswahi kizuri machacha tulikua tunaponda nyonyo na kupaka ,au tunaambiwa zinatengeneza mafuta ya ndege ahahaha
 
MJ Dannie

Member
Oct 28, 2015
61
125
Bongo hizi nyonyo huwa zinajiotea makorongoni au maporini kumbe deal aisee ,Sasa hawa wataalam wetu mbona ka wamepotezea fursa hii kuitangaza wananchi wakajipataia kipato! Mpwapwa zinakubali zana hizi kitu mkuu
Nashukuru sana mkuu kwa hii helpful comment. Naomba kuuliza pia, inachukua mda gani kutoka uotaji wake mpk uvunaji?
 
Gorky

Senior Member
Dec 28, 2016
122
250
Mkuu TIBIM nimekusoma asante ,nilichokua nakijua enzi zetu huko Mpwapwa kipindi cha baridi miguu ilikua ikipasuka kwa kiswahi kizuri machacha tulikua tunaponda nyonyo na kupaka ,au tunaambiwa zinatengeneza mafuta ya ndege ahahaha
Mkuu we uliishi mpwapwa miaka ipi ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom