Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Nina shida na ardhi ya Lindi ambayo haijawahi limwa kama heka kumi hivi mwenye info anisaidie
0 Reactions
4 Replies
481 Views
MAGONJWA YANAYO WAKUMBA SANA MBWA Mbwa ni mnyama muhimu sana katika maisha ya binadamu kwani mnyama huyu husaidia katika ulinzi na mapambo katika nyumba, hivyo basi kumtunza mbwa ni jambo la...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Naomba kujuan changamoto za biashara ya samaki wabichi kuwatoa Kigoma kwenda mikoani ushauri zaidi jinsi ya kufanya hii biashara.
0 Reactions
2 Replies
754 Views
Naomba niwasilishe kutaka kuelezwa zaidi juu ya kilimo cha Korosho kwa Mkoa wa Pwani. Naomba mwenye kuelewa atufahamishe mimi na wengine gharama toka awali za kupanda mikorosho katika shamba la...
2 Reactions
474 Replies
154K Views
Wakuu nimepata wazo la kua mvuvi lakini nataka nitumie ndoano katika shughuli zangu za uvivu hvo nilikua naulizia ndoano za kisasa na affordable kwa mimi mlala hoi, napia nikapata na bei ya life...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Nilikua nataka kufaham km mil 1.5 inaweza ikatosha km mtaji wa kuanza kufuga broiler na chotara mana mi ndo kwnz nataka nianze hii biashara. Na je na kama haitoshi ni kiasi gani kinahitajika...
1 Reactions
3 Replies
731 Views
Za jioni wandugu, Nimetembelea mkoa wa Iringa, niweza kujionea maajabu na fursa nilizozikuta. “Kweli tembea ujione”. Tenga la nyanya, ambalo linatoa mbaka ndoo kubwa tatu, linauzwa 15,000 ...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Jf salaam Huwa nashangaa sana mtu kuanza kuinadi hii miti ya kisasa akiiponda ya kienyeji (asili). Ukweli ni kwamba miti ya matunda ya asili inazaa sana iwapo itatunzwa kidogo tu! Na daima ni...
8 Reactions
53 Replies
3K Views
Kumekuwa na uwekezaji mkubwa wa ufugaji wa samaki hasa katika Ziwa Victoria. Hili ni jambo la kupongeza sana na mpaka Wachina wamejenga kiwanda cha vyakula vya hawa samaki. Juzi nimepita...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni kwa namna gani Hawa Wawekezaji wa kigeni katika zao la parachichi wameweza kuwa shawishi vijana kuingia katika kilimo hicho?
1 Reactions
5 Replies
662 Views
Naomba kujuzwa kuhusu kilimo Cha kokoa na wataalamu wa kilimo hiki
0 Reactions
3 Replies
573 Views
Mahindi na karanga ni mojawapo ya mazao muhimu ya chakula. Mazao hayo huweza kushambuliwa na fangasi wanaozalisha sumukuvu ambayo huathiri usalama wa chakula. Sumukuvu ni nini? Sumukuvu ni sumu...
5 Reactions
8 Replies
782 Views
Kheri kwenu wapendwa nimeamini kila kitu ni nia na kujituma. Mwezi wa saba nilinunua tetea 30 na jogoo 3 wanaotetea mwezi wa nane nikapata vifaranga 280 na mwezi huu wa tisa 220. Na bado...
60 Reactions
126 Replies
11K Views
Natamani kufuga sangara ila vifaranga vya sangara sijui nitawapatia wapi? yeyote wakunieleza nakaribisha kwa moyo wote. Na kama hakuna anae uza kwanini mtu asianze utafiti na kuzalisha vifaranga...
2 Reactions
56 Replies
2K Views
Nchini Indonesia, mbinu ya kale hutumiwa ambayo inachanganya mashamba ya mpunga na mabwawa ya samaki. Samaki husaidia kudhibiti wadudu kwa kuwala wadudu hao na kuchangia kurutubisha udongo kwa...
1 Reactions
2 Replies
356 Views
Baada ya kumaliza degree yangu ya pili na kuona kuwa ajira kama ajira haiwezi kuwa mkombozi wangu kiuchumi niliamua nifatilie mawazo mbalimbali ya ujasiriamali. Nikafikiria ujasiriamali wa...
76 Reactions
352 Replies
83K Views
Kazi ya tekinolojia ni kutatua changamoto za kijamii,hasa zile zinazokumba shughuri za uzalishaji mali. Najua kuna changamoto umesha wahi kukutana nayo,na ukatamani uwepo wa kifaa flani kutatua...
3 Reactions
9 Replies
648 Views
Kahawa imekuwa zao muhimu la biashara nchini Tanzania kwa zaidi ya karne moja, ikichangia kwa kiwango kikubwa uchumi wa taifa na ustawi wa wakulima wadogo. Hata hivyo, katika miaka ya hivi...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya . Leo katika pita pita zangu mitandaoni nilikuwa naangalia mambo ya uvuvi swali langu Kwa wavuvi kwanini wazungu akishika wavu akarusha kwenye mto,ziwa ,bahari...
2 Reactions
5 Replies
669 Views
Kama ambavyo kichwa Cha habari kinaeleza, Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji toka singida singidani Nina deal na Hawa kuku na hakika nmeona ni wastahimilivu sana wa magonjwa endapo wataanza...
5 Reactions
28 Replies
6K Views
Back
Top Bottom