Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

napenda kuomba msaada kwa wanajasirimali wote, nataka kuaanza mradi mdogo wa kufuga kuku wa kienyeji watano(5) majike with in mind kuupanua pale jinsi ntakapokuwa nimepata experience ya kutosha i...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
WADUNGU KWA YEYOTE ANAYE HITAJI SAMAKI AINA YA SATO KUTOKA KANDA YA ZIWA KWA BEI YA JUMLA NA REJA REJA,BUTCHERY IPO MAENEO YA KINONDONI CORNER YA MWANANYAMARA KARIBU NA BANGO LA SM MKONO WA...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani wana JF kama kuna Mkaazi wa Zanzibar anaejishughulisha na zao la Mwani naomba ani PM Tuzungumze.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni wazi kuwa Watanzania wengi wana mtazamo HASI juu ya MAFANIKIO, PESA ama UTAJIRI, hauitaji Rocket Science kujua hilo, angalia michango mbalimbali juu ya FURSA za kujiongezea kipato ama...
4 Reactions
37 Replies
7K Views
Wadau, nataka kufanya biashara ya kuuza bia za jumla. Kwa mtu mwenye uzoefu na biashara hiyo naomba anisaidie kujua mambo kadhaa kama vile kreti ngapi zinatosha kuanzia, upatikanaji wa bia ie...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
habari wakuu,kuna hii biashara ya kuuza crips za viazi,ndizi au mihogo na tambi za dengu,naomba kufahamu juu ya faida na soko lake kwa ujumla kwa dsm.mashne za kutengenezea znapopatkana na...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
We're going to use the A, B, C method from now on to break down everything you want to achieve into small, manageable steps. Here is the A, B, C method in simple terms. A = Action B =...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari! Nataka jua fuel taxations/duties inakuaje on both diesel and petrol. Please wadau munisaidie! Shukran sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za usiku huu ndugu zangu! Mimi ni mdada ambae maisha yangu yote natamani kuwa mjasiriamali ila sina idea ya biashara wala mtaji . Kushindwa kutimiza ndoto zangu kunaniumiza sana . Naomba...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
i am Going to Kingolwira Fish Farm on Satarday 30 April. Nimefanikiwa kuchimba bwawa la samaki .nahitaji contacts details za wahusika wa Kingolwira fish farm. kwa member aliyewahi kufika ktk hiki...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Nilikuwa naitumia ila sahivi nataka kusitisha kufanya hii biashara kutokana na kuwa bize na biashara nyingine,napatikana Tegeta.Anayehitaji anipm tuongee biashara
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mji wa Ruaha Mbuyuni mkoani Iringa, kwa sasa unapelekewa huduma ya umeme toka Ilula, naamini baada ya miezi michache ijayo mji ule utakuwa nuruni.Mji huu unakuja juu kibiashara, hasa biashara ya...
15 Reactions
42 Replies
8K Views
Mimi ni mtengenezaji wa batiki kama vikoi na vitambaa vya kushona kwa kutumia ubunifu wa hali ya juu mawasiliano 0717539573 au email: stanslausd@yahoo.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani kwanza napongeza uongozi wa JF kwa kuweka kipengele hiki cha matangazo kwa watu wanyonge ambao kwenda media mbalimbali hatuwez hivyo basi nasema Mungu awabariki.Mimi napenda kusema kuwa ni...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
vijana wakisasa, ni kijana mwenye kujituma na kuwaza mbali zaidi, social media zinasaidia katika kukuza network nakupata taarifa mpya, sio vinginevyo kama unashinda facebook kuangalia profile...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
katika harakati zangu za kuwa mjasiriamali nikajikusanyia ka mtaji ambako hadi sasa kamefikia milioni 4. nilikuwa najikusanyia kwa kudunduliza kamshahara na biashara za mkononi. wakati...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Umoja wa mataifa (UN) walifanya utafiti kuhusu tabia za watu matajiri duniani kote. Walijiuliza kwa nini kuna watu maskini na watu matajiri ktk kila nchi iwe nchi tajiri kama marekani na Uingereza...
3 Reactions
4 Replies
8K Views
Wadau nina iriki natafuta soko kwa anayehitaji "To know the enemy is half the victory"
1 Reactions
4 Replies
2K Views
KARIBU KATIKA NETWORK YA WAJASIRIAMALI TANZANIA. HII NI NETWORK YA WAJASIRIAMALI,VIJANA NA WATU WOTE AMBAO WANAPENDA KUWAJASIRIAMALI LAKINI HAWANA UWEZO WA KIFEDHA NA UTHUBUTU WA KUTIMIZA NDOTO...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Naomba msaada anayejua contact za maxmalipo au walipo. Na namna ya kuweza kupata machine zao. Asante
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…