Going to Kingolwira Fish Farm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Going to Kingolwira Fish Farm

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by newmzalendo, Apr 29, 2011.

 1. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  i am Going to Kingolwira Fish Farm on Satarday 30 April.
  Nimefanikiwa kuchimba bwawa la samaki .nahitaji contacts details za wahusika wa Kingolwira fish farm.
  kwa member aliyewahi kufika ktk hiki kitengo please give some advice
  i will be driving there kama kuna member with intrest to come along please let me know.(Jamii Farm Unit)

  nawakilisha
   
 2. l

  len Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hongera mkuu,

  Jaribu kuwasiliana na Mr. Kalinga, 0713 577052
  Ningelipenda kuja na wewe kesho lakini ratiba imebana kidogo. If you do'nt mind nitapenda kuja kuona na kujifunza zaidi kutoka kwako hapo mbeleni.
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu.... NM

  kwanza hongera

  umechimba bwawa maeneo gani..(yaani geographical location).....?.... na unategemea kufuga samaki wa aina gani ...maji baridi au...? samaki wa kitoweo au ornamental fish..?
   
 4. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Asanteni sana,kwa contacts details,and Malila nashukur sana kwa ushauri,
  nimechimba bwawa kigamboni eneo linaitwa Mwanzo Mgumu B,somangira. bwawa lina ukubwa wa mita 29 by 10.natarajia kufuga samaki wa kwanza 600 kwani hesabu za wataalam ni samki 2 kwa square meter moja
  katika jitihada zangu Jana nilienda manispaa ya Temeke,sikufanikiwa kupata namba ya kingolwira,nimeuliza zaidi ya maofisa watano,nikaenda kwa assistant wa mkuu wa kituo hicho,pia naye hana ,sikuvunjika moyo nikapiga safari mpaka wizara ya kilimo na uvuvi,nikaenda kitengo cha samaki,hapo nikapata ushirikiano mzuri sana,na kwa bahati chief wao mmoja alinipa hadi namba za Mr.Kalinga na kunipa mtu wa kuwa ananisaidia tecknical support( Nicholas Mlalila)

  nimeongea na Mr.Kalinga ameshauri niende wiki ya pili ya mwezi may.

  nitatoa updates siku zikikaribia
   
 5. M

  Malila JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hujataja aina ya samaki utakaoanza nao, kwa idadi hiyo lazima ni Sato(tilapia) kwa sababu mziki wa African catfish ni mnene kidogo. Good trial. Sato wanazaliana sana mkuu, na kama utachukua majike na madume, ndani ya miezi minne utakuwa na utitiri wa samaki, ili ufanye vizuri, waambie wakuandalie clarias( african cat fish kwa ratio) ili kubalance idadi ktk bwawa lako.
   
 6. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  asante kwa Ushauri,ninatarajia kupanda sato,kwani ndani ya miezi sita inabidi uvune na kuanza upya,-according to wataalam-
  nitazingatia swala la kuweka Cat Fish
   
 7. M

  Malila JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Safari ya Kinguluira ilikuwaje? Tupe yaliyojiri huko na vifaranga vina hali gani kwa sasa?
   
 8. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #8
  May 13, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  nimepata safari ya kyela,nitakaporudi DAR nitaenda.nitawapa updates 3 days before going
   
 9. f

  fredrick1980 New Member

  #9
  Jan 13, 2013
  Joined: Nov 29, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 10. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2013
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,491
  Trophy Points: 280
  nafikiri umefika wakati jamii forum waanzishe jukwaa la kilimo,uvuvi na ufugaji kuna post nyingi zinazohusu maswala hayo hii itawapa nafasi wale wanaotaka kuanza,weny uzoefu na wataalam kushare idea
   
 11. M

  Malila JF-Expert Member

  #11
  Jan 13, 2013
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Tunasubiri updates mkuu, au bado uko Kyela?
   
 12. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #12
  Jan 13, 2013
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Mkuu asante kwa kutupa email address.
  Hii ndio official email address ya Kingolwira Fish Farm ?
  Nauliza kwasabau nina maswali mengi nataka kuwauliza wataalam wa Kingolwira kuhusu ufugaji mkubwa wa samaki sato.
   
 13. believer

  believer JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2013
  Joined: Dec 22, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Newmzalendo mambo vp naomba feedback ya project yako ya ufugaji wa samaki,niko impressed sn nataka unisaidie ABCD zake
   
 14. chamakh

  chamakh JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2013
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 692
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 60
  im interested to know the outcome of the project, mtoa mada kokote uliko njoo utupe updates
   
 15. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #15
  Apr 4, 2013
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona umeukimbia huu uzi??? Vipi feedback ya mradi wako wa ufugji samaki??

  Tunaomba mbili tatu ili na sie tujitose kwenye guo mradi.........
   
 16. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2013
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Wapi feedback
   
 17. M

  MILLIONS MOVEMENT Senior Member

  #17
  Jun 22, 2013
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NewMzalendo,

  Kumbuka una deni hapa Jamvini la kuweka Feedback ya project yako.Fanya hivyo kusaidia Members wanaofatilia uzi huu.
   
 18. M

  Malila JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2013
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mshikaji kala kona ghafla. Mimi nishauri tu, kama una swali uliza ili wengine tuchangie.
   
 19. mapande48

  mapande48 Member

  #19
  Jul 2, 2013
  Joined: Jun 4, 2013
  Messages: 13
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Imepita miezi sasa tangu uende pale Kigolowira,, je ulipata mafanikio ya safari yako???? 0785867847
   
 20. M

  Malila JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2013
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Naye kala kona nini?
   
Loading...