Mji mpya wa biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mji mpya wa biashara

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Malila, Dec 21, 2011.

 1. M

  Malila JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mji wa Ruaha Mbuyuni mkoani Iringa, kwa sasa unapelekewa huduma ya umeme toka Ilula, naamini baada ya miezi michache ijayo mji ule utakuwa nuruni.Mji huu unakuja juu kibiashara, hasa biashara ya Hotel,Vitunguu,camp sites ( zipo mbili kwa sasa). Zipo biashara ambazo hazijavumbuliwa kwa sababu ya kukosekana umeme.Mji una ongezeko kubwa la watu wa kila kona kwa sababu ya vitunguu. Ila mji huu hauna shule,japokuwa location yake iko vizuri,mawasiliano ya simu na barabara ni mazuri.Hakuna guest house za kisasa japokuwa ni parking ya malori makubwa ya transit.Hakuna w/house za muda mfupi kwa mazao nkKipo kilimo cha umwagiliaji na ufugaji kiasi. Haya kwa wajasiriamali wenzangu, fursa hizo.Tusiwaachie wageni kila fursa.
   
 2. Mtumishi Mkuu

  Mtumishi Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Asante kwa kutujuza mkuu!
   
 3. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Viwanja vipo? Na bei yake inarange kwenye ngapi?
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo mji mpya ndio unaanza au ulishatangazwa au ndo kama juba darfur ndio maisha yanaanza..
   
 5. J

  Jalem JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Je ninaweza kupata kiwanja mahali hapo?
   
 6. M

  Malila JF-Expert Member

  #6
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Pale viwanja ni vya kujikatia size unayotaka, fika serikali ya mtaa unaotaka, omba ukatiwe bonge la pande. Sio utani, kwa sababu hawa wenye camp site zilizoko kando ya mto hawajanunua kwa mtu, mji una mito miwili ya nguvu. Kama unataka upande wa Morogoro haya au upande wa Iringa haya, cha msingi angalia mita za Magufuli basi.
   
 7. M

  Malila JF-Expert Member

  #7
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Eka ngapi ?
   
 8. M

  Malila JF-Expert Member

  #8
  Dec 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huu mji ulikuwepo siku nyingi,tatizo lilikuwa umeme, wenyeji walioanza kuishi pale walianza kama kijiji kidogo,kadri siku zinavyokwenda wajanja wakagundua vitu vizuri vilivyopo pale ambavyo vimevutia uhamiaji wa nguvu kazi toka maeneo mbali mbali. Baadae akina al jazeera wakapanesha kwa kujenga hotel kwa ajili ya abiria. Mara oil com wakaweka petrol station.

  Mara wachina wakaja kulima vitunguu,mara wapemba wakaja kununua vitunguu,hee mara nyama choma za kufa mtu, mara mjerumani kaleta camp site ya kwanza,mara Crocodile camp site, mara akina airtel,sijui vodafone. Mpaka hapo umeme ulikuwa haupo.

  Ni mji tambalale ni km kama 70 / 100 hivi mpaka Iringa mjini.
   
 9. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #9
  Dec 21, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Thanks Malila kwa kutujuza.
   
 10. Don Mangi

  Don Mangi JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,206
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Mkuu Malila nimepita hapo jana kuja huku ndo taaaneeeskooo walikua wanamalizia kuweka nguzo, kwa heshima na mimi nikanunua vitunguu hapo
   
 11. M

  Malila JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Poa,

  Sijapata mwenyeji mzuri ili nipate eneo kubwa zuri ktk kimji hiki kipya kizuri. Vitunguu vya sikukuu nini?
   
 12. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mkuu weka picha niweke kwenye blog hii habari inafaa kwenye blog yangu.
  Gonga hapa
  www.gshayo.blogspot.com
   
 13. M

  Malila JF-Expert Member

  #13
  Dec 23, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Nikipita january nitapiga picha nikutumie ni kamji kapya kenye fursa nyingi. Kumbuka kapo ktk highway ya kwenda zambia,Malawi,Congo na kwingineko.
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa taarifa.
   
 15. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #15
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  Kaka MAFURIKO vipi?
   
 16. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #16
  Dec 24, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Ahsante sana kwa hizi habari njema kabisa, watu wengi JF kazi yao kulalamika, kususa na kushadidia maandamano. Haya andamaneni kwenye fursa hizo.
   
 17. M

  Malila JF-Expert Member

  #17
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Sina uhakika kama huwa yanatokea au la.
   
 18. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #18
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wewe kweli uwezo wa kufikiri mdogo, hivi unafikiri watanzania wote wanaweza ku-tap hizi fursa zilizopo? usiweke siasa kwenye kila kitu. Malila kaleta wazo, lakini bado kutakuwa na restrictions kibao kwa mtu kwenda ku acquire ardhi tajwa, wachilia mbali turning it into productive use. Si kila kitu siasa we mama, ningekuwa PAW au Invisible ningekupiga ban jukwaa la biashara. Unachafua hali ya hewa tu!
   
 19. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #19
  Dec 24, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Hizo fursa hazipo huko tu, zipo kila mahali Tanzania na tunaona wageni wanavyokuja kuzichangamkia. Asiyeziona ni ama hana macho ama mvivu wa kutupwa.
   
 20. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #20
  Dec 24, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Najua hapo watu wameghafilika na kumtaja Allah mwenye kuleta hizo neema.Ngoja nije niwajengee msikiti mzuri wa kufanyia ibada.Pindi akitokea yoyote akaweka vikwazo subirini ukame na mito yote kukauka.
   
Loading...