Natafuta soko la batiki aina zote yaani tie&dye na batik print.

Buhaya boy

Member
Jun 16, 2013
88
16
Jamani kwanza napongeza uongozi wa JF kwa kuweka kipengele hiki cha matangazo kwa watu wanyonge ambao kwenda media mbalimbali hatuwez hivyo basi nasema Mungu awabariki.Mimi napenda kusema kuwa ni kijana ambae natengeza batiki aina zote ambazo kiukweli zinavutia,natengeneza vikoi na vitambaa vya kuvutia kwa kutumia vitambaa namba moja ambavyo ni vizito na wala havitoi rangi.Pia ninatengeneza sabuni za kunawia mikono hotelin na kwa matumiz ya nyumbani .Tuwasiliane 0717539573 au email:stanslausd@yahoo.com.
 
Back
Top Bottom