Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

  • Poll Poll
pigia kura jina moja kati ya haya matatu tupate mjasiriamali bora wa Jamii forum wa mwaka 2013. 1. Mama Joe 2. Kubota 3. Malila Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 December 2013. No Multiple...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Ndugu wajasiriamali. hasa wafugaji wa kuku wa asili. mimi nimefanikiwa kutibu magonjwa mawili ya kuku. kwa tiba mbadara (1) uharo mweupe. nilichanganya vumbi la mkaa na chakula cha kuku nikawapa...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Habari zenu wakubwa,mi nina wazo lakufanya biashara ya Gypsum,sasa kwa yoyote alie na uzowefu wa hii biashara aliowahi kufanya au ambao wanafanya,naomba mawazo kwenye biashara hii au muongozo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
https://www.jamiiforums.com//index.php?task=106331
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jf wa jukwaa hili, Bado nanunua kuku wa nyama kwa bei nzuri sana, mwenye nao asisite kunitafuta kwa 0785168001, na uniambie unao wangapi na mambo mengine tutawasiliana.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Asali mbichi kutoka tabora inauzwa lita1tsh 12000 kwa atakae hitaji pls
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa wale wanaohusika na shule za sekondari, napenda kuwajulisheni kwamba J&B Graphics and Data Processors inaendesha zoezi la usajili wa wanafunzi wanaotarajia kufanya mitihani yao mwishoni mwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji kununu viti vya plastiki je ni viti gani bora na kama unajua bei ya kiwandani mimi naishi songea
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza simu jaman ina kama mwezi tu tangu inunuliwe... Mjin pagumu kufulia hakuishi iko poa kabisaaa mpya.470,000/= nakushuka chini.Wajanja na wadau Contacts 0718247575
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JamiiForums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job from home
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu wana JF natamani kuingia rasm kwenye kilimo cha matunda na mboga mboga (Hotculture) Ningependa kupata japo kwa ufupi tu, namna ya uendeshaji wa kilimo cha Green Beans,Green Peper na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu, kuna dogo huko mkoani amegundua opportunity ya biashara ya usafirishaji kwa kutumia Bajaj. Amenipa specification mojawapo kuwa angependa Bajaj hiyo iwe ya aina ya TVS. Nadhani humu kuna...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Wadau wajasiriamali ninawasalimu! Naomba kupewa ushauri wa ujasiriamali mdogo bisi. Huwa napenda sana kula bisi, kila nikipita wanakokaanga lazima ninunue nijilieeee, sasa kwa mapenzi haya...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
JamiiForums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job from home
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Its black in colour. Operated for almost two years... Price is 2 milion shillings. Not negotiable. Its black and in good condition. Those interested please call 0714282821 or 0753260975.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba msaada wadau; Kujua ni benki ipi hapa kwetu tanzania inatoa mikopo kwa marejesho ya riba ya chini au nafuu kidogo? Naamini ntakuwa nimeeleweka,kama sijaeleweka kwa wale walionielewa...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Wadau naomba kujuzwa tanki bora la kuwekekea maji kati ya 1. Sim tank lita 5000 hadi 10000 2. Kiboko tank Na mengine mnayoyajua na bei zake naomba kujuzwa wadau
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF natafuta wajenzi wa bwawa la samaki nipo dsm no 0787805036 Big
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari Jamiiforums. Mabibi na Mabwana, Ombi langu kwenu ni hili. Je Ninaweza kupanga mabanda ya Kufuga kuku Faida ikawepo? Kuku ninaotarajia kuwafuga ni Kienyeji(Asili) Mabanda kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Heshima yenu manajamvi. Nimepata wazo la kufungua duka la kisasa la kuuza mboga mboga na matunda fresh mjini Tanga. Lakini changa moto nayoiona ni jinsi nitaka vyoweza kutunza hizo bidhaa bila...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…