biashara ya dhahabu

reginahope

Senior Member
Mar 26, 2013
163
170
habarini wanajamvi. jamani naombeni mwenye kufahamu vizuri biashara hii ipo vipi. binafsi sifahamu imekaa vp ila natamani sn kufanya biashara ya kununua dhahabu kwenye migodi hapa tz na kwenda kuuza nairobi kwani nimesikia soko ni zuri huko. kwa mwenye ufahamu naomba msaada na jinsi ya kuyatofautisha original na fake. natanguliza shukrani zangu
 
Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,200
1,250

Dhahabu itafute uifahamu kwanza..uishike uielewe kabla ya kujiingiza kwenye biashara...jaribu kufanya safari kwenda kwenye migodi midogo midogo then uelewe kwanza halafu huko nipo utapata bei ya shambani hii inategemea na eneo na eneo halafu from there ndio unaweza kudetermine utaiuza raw kwa bei gani ila kuwa na scale ni muhimu na pia (mguu wa kuku) in case mtaji wako ni mkubwa.
 
asante sn kwa ushauri wako
 
nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
7,818
2,000
dhahabu itafute uifahamu kwanza..uishike uielewe kabla ya kujiingiza kwenye biashara...jaribu kufanya safari kwenda kwenye migodi midogo midogo then uelewe kwanza halafu huko nipo utapata bei ya shambani hii inategemea na eneo na eneo halafu from there ndio unaweza kudetermine utaiuza raw kwa bei gani ila kuwa na scale ni muhimu na pia (mguu wa kuku) in case mtaji wako ni mkubwa.

............na huko inabidi uwe mbabe kweli kweli pia uwe na wapambe wa kutosha............
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom