habari zenu wakuu, natafuta soko la dagaa wachafu ambao hutumika kutengenezea chakula cha mifugo especially kuku, wateja wakubwa ni wale wenye viwanda vya kutengeneza vyakula hivyo, tatizo sijui...
wandugu nauza maharage ya soya nina gunia 150 kila gunia nauza laki na thelathini tu pia nina magunia kama hamsini ya mbaazi kila moja nauza laki tatu ni gunia la kilo mia moja kwa anaehitaji...
Shkamooni; Jamani Ninauza Bata 30, Wakubwa Kwa Wadogo! Nikwaajili Yako, Kwa Bei Utakayo Imudu. Usipitwe Na Bahati Hii, Nitafute Mtwa Mkulu Kwa 0652967265. Kumbuka...
Mm ni muajiriwa katika shirika moja la umma kilichonifanya mpaka nijongee kwenye jukwaa hili ni mawazo yenu wadau napenda kufanya biashara kwani suala la kuajiriwa limekua gumu kwangu. si mara ya...
Salam wakuu!
Nahitaji mbegu ya ALIZET aina ya KENYA FEZA nackia inapatikana ARUSHA kwenye KAMPUNI 1 inaitwa KIBO alienambia hana uhakika na Jina la hiyo KAMPUNI ndo7bu nimekuja hapa kwenu kwa...
Salaam, nahitaji kufungua moja ya barber shop ya kisasa hapa Mwanza mjini. Ila sina ufahamu wa jinsi ya upatikanaji wa vifaa kwa ufunguzi huo, je naweza kupata msaada kwa yeyote yule ambaye...
Habari ndugu zangu;
Naomba mnifahamishe ni wapi naweza kupata duka linalouza mahitaji ya upishi wa keki kwa hapa Tanzania...hususani Dar es salaam. Itakuwa vema pia kama tutabadilishana ujuzi...
Tunatengeneza incubator za kutotolea mayai ya ndege wa aina zote.ni incubator zenye ubora wa hali ya juu.ni automatic zinageuza mayai zenyewe,zinacontral zenyewe kiwango cha joto na unyevu...
frem nzuri ya biashara inapangishwa sh.laki moja kwa mwezi.! ipo tegeta ccm mita 50 kutoka barabara kuu iendayo bagamoyo kwa anayehitaji plz call 0717483440
Serikali kupitia kampuni yake ya mashamba ya miffugo, NARCO imealika wawekezaji toka nje na ndani ya nchi kuwekeza katika shamba la mifugo la Ruvu, mkoa wa Pwani. shamba hilo lina uwezo wa kufuga...
Za leo wakuu. Najipanga ili Mwenyezimungu akipenda nijiingize ktk production ya mafuta ya alizeti. Naomba msaada Wa yeyote anayejua upatikanaji Wa mashine ya kusagia alizeti uko vipi.
Kwanza wana jf oyee kwan hakuna mtandao wowote wa kijamii dunian nauheshim kama JF,
Nije kwenye point mimi natengeneza vitu tajwa hapo juu.Hata sasa nipo kanda ya ziwa nasambaza batik za...
Habari wakuu.
Pamoja na kuongelea mafanikio na mikakati yetu ya kujikomboa kimaisha kwa njia halali nimefikiri ni vyema pia tuhadisiane na kuelezeana kuwa ni biashara gani ulishawahi fanya na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.