Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Bado siamini kilichotokea. Huyu jamaa nilishawahi kufanya naye biashara kama mwaka umepita. Kama miezi mitatu imepita alikuja kaka yangu akaona ile mifugo niliyoagiza kwa huyu jamaa akatamani naye...
2 Reactions
134 Replies
14K Views
Miaka ya hivi karibuni watu wengi wanaona kilimo ni sehemu salama ya kutupa chini pesa zao ili zitoe faida kubwa. Je huu ni mwanzo wa mapinduzi makubwa ya kilimo cha Tanzania. Ukweli ni kwamba...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau kwa wanaofahamu vizuri mkoa wa Kigoma kuna fursa zipi ambazo naweza kuwekeza na zikaleta return nzuri,nahitaji kujua ili nianze utekelezaji haraka.Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nilipata kutembelea bonde la Kilombero(Ifakara) wakati fulani. Wakati wa msimu wa kilimo,kuna uhitaji mkubwa sana wa matrekta. Unakuta mtu mmoja ana oda ya kazi mpaka anachemsha. Yaani trekta...
6 Reactions
11 Replies
6K Views
Ndio kama kichwa cha habari kinavyosema, kwa kutumia makaratasi amnayo umekua mkiyatupa yanaweza yakawa chanzo cha nishati ya kupikia kama mkaa. Kwa maelezo zaidi pamoja na mwongozo wa step kwa...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Mkurugenzi Mkuu wa CBE, Prof. Emmanuel Mjema Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), kimepanua wigo wa elimu ya biashara kwa nchi za Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika kwa kuongeza idadi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwenu wanajamvi.naamini mu wazima.Ninatamani kujua jinsi ya kutengeneza mikunjo ya vikoi vya batiki kwa pembeni sbb huwa ninaona nyuzi nyuzi lkn sijajua jinsi zinavyotengenezwa. Naomba mwenye...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Wakuu natafuta members ili tuanzishe project kubwa ya kilimo RUVU,nimeplani kilimo cha matikiti maji na natarajia kuwekeza mtaji wa kuanzia 5-10million. Kwa aliyetayari aniwekee PM ili tuongee...
4 Reactions
73 Replies
18K Views
Habari,wadau kuku wangu anaumwa ametaga mayai2 tu leo anaumwa Kapooza,anaharisha hata mayai yake kwa nje ya gamba kuna damu Nisaidieni nimpatie dawa gani Sent from my BlackBerry 8520 using...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini great thinkers, Ninahitaji line tajwa lakini kama mjuavyo urasimu uliopo kwenye mchakato mzima wa kuzipata kutoka kwenye makampuni ya simu nimefikiria kuzinunua kwa mtu aliyetumia na sasa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wale wa sirari na tarime naomba kujua kama kuna uwezekano wa kuwapata hawa kuku aina ya kenbro kutoka kenya au hata mayai yake
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jamii jukwaa hili limekuwa kisima cha mambo mengi nawashukuru wote unaochangia kwa ustarabu nafikiri tukiendelea kuweka mambo vizuri tutafika mbali napenda kujua hizi title za humu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuanzia tarehe 1/10/12 mpaka 10/10/12 kutakuwa na maonyesho ya ufugaji wa nyuki pale uwanja wa Nyerere Dar es Salaam. Haya maonyesho yana maana gani kwetu? Mimi naona ni fursa nzuri ya...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari. Siku hizi wa Tanzania tumepiga hatua kubwa sana katika ushirikiano kijamii na moja ya hatua iyo ni kujiunga pamoja ktk vikundi ambavyo vina jihusisha na shughuli za ujasilia mali. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Habari za jioni wana-JF. Mimi kijana ninayetaka kumiliki biashara yangu kihalali. ninahitaji kuanzisha biashara ya Restaurant, je nifanyeje ili niweze kupata leseni ya biashara kwa urahisi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
This is a reality show, but this time, Bobi wine visits a farm managed and owned by a veterinary officer, who decided to employ herself.. This woman rears pigs, grows bananas and does fish...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Katika mahangaiko ya maisha wandugu, nishapoteza laki 2 zinaniuma kinoma ila sijakataa tamaa naombeni mwenye kujua wapi ntapata mkopo wa masharti nafuu sana sina nyumba wala kiwanja wa kazi yangu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Jaman mweny kujua ukwel kuhus hy taasis anijuze
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Jameni kwa wale waishio Mufindi, Iringa na maeneo yanayozalishwa mbao, je kujaza ile semi, inaweza gharimu kiasi gani, naomba wazoefu wa biashara hii au wanaoijua kiundani zaidi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau. nimeshakodisha chanja la kuhifadhia kitunguu changu somewhere iringa-malolo. mwaka huu machale yalincheza sijalima. nimeshanunua gunia kama 50 za kitunguu iliyo safi na maalum kwa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…