Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habarini great thinkers, Ninahitaji line tajwa lakini kama mjuavyo urasimu uliopo kwenye mchakato mzima wa kuzipata kutoka kwenye makampuni ya simu nimefikiria kuzinunua kwa mtu aliyetumia na sasa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa wale wa sirari na tarime naomba kujua kama kuna uwezekano wa kuwapata hawa kuku aina ya kenbro kutoka kenya au hata mayai yake
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jamii jukwaa hili limekuwa kisima cha mambo mengi nawashukuru wote unaochangia kwa ustarabu nafikiri tukiendelea kuweka mambo vizuri tutafika mbali napenda kujua hizi title za humu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuanzia tarehe 1/10/12 mpaka 10/10/12 kutakuwa na maonyesho ya ufugaji wa nyuki pale uwanja wa Nyerere Dar es Salaam. Haya maonyesho yana maana gani kwetu? Mimi naona ni fursa nzuri ya...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari. Siku hizi wa Tanzania tumepiga hatua kubwa sana katika ushirikiano kijamii na moja ya hatua iyo ni kujiunga pamoja ktk vikundi ambavyo vina jihusisha na shughuli za ujasilia mali. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Habari za jioni wana-JF. Mimi kijana ninayetaka kumiliki biashara yangu kihalali. ninahitaji kuanzisha biashara ya Restaurant, je nifanyeje ili niweze kupata leseni ya biashara kwa urahisi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
This is a reality show, but this time, Bobi wine visits a farm managed and owned by a veterinary officer, who decided to employ herself.. This woman rears pigs, grows bananas and does fish...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Katika mahangaiko ya maisha wandugu, nishapoteza laki 2 zinaniuma kinoma ila sijakataa tamaa naombeni mwenye kujua wapi ntapata mkopo wa masharti nafuu sana sina nyumba wala kiwanja wa kazi yangu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Jaman mweny kujua ukwel kuhus hy taasis anijuze
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Jameni kwa wale waishio Mufindi, Iringa na maeneo yanayozalishwa mbao, je kujaza ile semi, inaweza gharimu kiasi gani, naomba wazoefu wa biashara hii au wanaoijua kiundani zaidi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau. nimeshakodisha chanja la kuhifadhia kitunguu changu somewhere iringa-malolo. mwaka huu machale yalincheza sijalima. nimeshanunua gunia kama 50 za kitunguu iliyo safi na maalum kwa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Nataka kufanya biashara ya bajaji,naombeni mrejesho kwa siku shingapi? Aina gani ni nzuri. Mawazo yenu muhimu wadau
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Natafuta mbwa wa kike na kiume, awe pure german shepherd (Mwenye masikio yaliyo simama). Natanguliza shukran.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mawazo yenu wadau mfano ukiwa na mtaji wa million 1 unaweza fanya biashara gani ambayo ikakuingizia kipato kwa hapa Dar. Naomba mawazo yenu kama hautaona ujumbe huu haukufai basi ni bora...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna wanaojua kutengeneza hayo material au sabuni za masinki na vyoo. watusaidie namna ya kutengeneza tuweke mazingira safi. Shukeni formulae nawategemea sana wale wa Dar, Mbeya, Kigoma, mnajua...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za leo wana JF? Naomba anayejua taratibu za kufungua institute mfano Tanzalia Ujasiriamali Institute aweze kunisaidia maelezo. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau m-pawa nimeisikia ikitangazwa sana kuwa itatusaidia sana wajasiriamali hasa wadogo. Kwa kuwa tukiweka hela yetu itakuwa inazaa faida. Naomba mwenye uelewa wa namna faida inavyopatikana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji miche ya pilipili na nyanyachungu ili niweze kuanza kilimo Kwa mwenye taarifa zitakazo maliza shida yangu anisaidie
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Reginald Mengi alianza kwa kutengeneza ballpoint pens {kalamu}
1 Reactions
58 Replies
14K Views
Habari wajf mm nmehitimu chuo july wakati naendelea kutafuta kazi nataka nijikite kwenye kilimo kuna shamba maeneo ya malela ningependa kuuliza ni mazao gani yatakayofaa kuanzia na ambayo yataweza...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom