Msaada;Soko la Mahindi

Stanboy

JF-Expert Member
Jul 4, 2013
714
500
Habari ndg zangu wana jf?

Mimi ni mkulima mdogo lakini pia ninafanya biashara tofauti tofauti,katika kujipanua zaidi nina mpango wa kuanza biashara ya kununua mahindi kutoka kwa wakulima na kuyauza sehemu zenye soko zuri linalolipa,

Hivyo ningependa wenye uelewa na biashara hii pamoja na soko lake wanijuze,

Tusaidiane ndg zangu,
Nawasilisha.
 
CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
6,990
2,000
Ukinunua mahindi na kwenda kuyauza unakuwa hujafanya chocjote ila ukinunua ukasaga na kuuza unga hapo un akuwa umefanya kitu.

Mara nyingi hii biashara inataka ujanja ujanja ikiwemo kuchanganya mahindi mazuri na mabovu, au kutumia kipimo kisicho sahihi wakati wa kununua, Na ujanja ujanja huingia kwa sababu bila hivyo hupati pesa na ili upate mafanikio katika biashara hizi ni Bora ukawa unanunua na kuprocess au kuongeza thamani hayao mazao yako.
 
Asante ndg,
Hilo soko la unga likoje?Na ni wapi hasa naweza fanya hii biashara ya unga?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom