Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Nahitaji mtu wa kuingia ubia katika biashara nzuri sana inayohusu bidhaa maridadi kutoka Marekani. Mtaji anaotakiwa kuwa nao "m-bia" huyu ni kama 800,000/- (au zaidi) na awe tayari kujifunza...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Mimi ni fundi wa kuchomea magari,mageti na kazi zote zihusikanazo nauchomeleahi msaada wangu ni kwamba kwa sasa hakuna kazi naombeni msaada ni biashara gani nzuri ili nitafute mtaji wakufanya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
KWA UFUPI Usipokuwa mwangalifu mkopo unaweza kuharibu jina la biashara yako, unaweza kupoteza wateja, kufilisiwa, kupoteza mwelekeo wako kibiashara, kuharibu uhusiano na taasisi za fedha. Mkopo...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu Jamvini. Mimi ni mfugaji wa bata maji, nilianza si kwa minajli ya biashara ila kama kitoweo nyumbani. Lakini sasa wamekuwa wengi sana kiasi kwamba nashawishika kufuga...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nilipita ktk bank moja mjini Dar na nimemwona graduate wa SUA akitoa huduma kinyume na masomo yake ya kilimo. Mheshimiwa Rais naomba kwa huruma yako uniuzie mimi lile shamba la mifugo la Kitulo...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Jamani naomba kujua kama kuna mtu amewahi uza vitunguu miezi ya januari na februari, Bei zake huwa zikoje?? mwenye taarifa sahihi anisaidie bei huwa zikoje miezi hiyo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii, Kuna kipindi nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda mwanzoni ilikuwa nzuri na inalipa ila kadri siku zilivyozid kwenda ikaanza kuzingua na madereva kuanza kuleta uswahili...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
salam kwenu wanajamnvi..!!! Wadau naomba msaada wenu kwa yeyote anayejua ni wapi zinapatikana mabalo/marobota mazuri ya nguo mixer za watoto kuanzia O-5 ya grade ya kati na pia naomba kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau kuna kiwanja kizuri katika eneo la Bunju kata ya Mabwepande (Manispaa ya Kinondoni-Dar es Salaam) karibu na eneo maarufu la Manzese ambapo kuna huduma zote za msingi kama vile: - Maduka...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi ni kwel kilimo cha bustani kinaweza kumtoa Mtanzania katika umaskini?? Ni juhud gani zinafanywa na serikali kumkomboa mtanzania anaejishughulisha na kilimo biashara????
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Aliye mwandishi mzuri wa cafeteria /canteen business plan tuwasiliane ASAP aniPM. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF Mkoa wa Kigoma ni moja ya mikoa ambayo maendeleo ya kielimu bado yako chini sana (kuna vyuo viwili tu vya ualimu na hakuna shule nyingi - hata zilizopo ufanisi wake ni mdogo ukilinganisha...
2 Reactions
4 Replies
10K Views
Mtoto wa kaka yangu alifeli kidato cha 4. Nataka nimfungulie ofisi. Je, kati ya saluni ya kiume na biashara ya mitumba ipi inalipa vizuri? Kiasi ninachotaka kumpa ni Tsh 3,000,000/. Na kama...
0 Reactions
29 Replies
11K Views
Nataka nianze kufyatua tofari kwa biashara. Naomba msaada wa gharama za mashine.za umeme na manual. maeneo muhimu kwa mradi kama huo Natanguliza shukurani zangu za dhati.
1 Reactions
15 Replies
7K Views
VITABU VIFUATAVYO VYENYE KANUNI (FORMULATIONS) ZA UTENGENEZAJI WA BIDHAA MBALI MBALI VINAPATIKANA KAMA SOFT COPIES YAANI WAKATI WA KULIPIA KITABU HUSIKA UNATUMA PIA EMAIL ADDRESS NA KUTUMIWA...
0 Reactions
6 Replies
13K Views
U.S Grains Council watakuwa na mafunzo kwa watengenezaji wa chakula cha kuku kwa kutumia Soya , Mafunzo haya ni kwa wale wanaotengeneza vyakula vya kuku au wanaotarajia kutengeneza chakula cha...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Jamani wana Jamii, naombeni ushauri wenu kwa aliye na elimu ya biashara mtaji wa ml.14 unaweza kuanzishia biashara ya magauni ya harusi kuyatoa nchini China na kuleta hapa Tanzania?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Heshima kwenu wadau kijana wenu katika kuangalia fulsa nikapata wazo la kufuga mbuzi kwa sababu 1.eneo nililopo mbuzi wanapatikana kwa bei ya kawaida bei ambayo uyo mbuzi ukimpeleka umbali wa...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
SUPER GRO ********************* Super gro ni bidhaa ya mimea. kazi zake: -inatunza unyevunyevu -inaimarisha mmea -inaongeza mavuno yani uzito,wingi na ukubwa -haibagui mmea -inafanya kazi...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
WanaJF, Kutokana na hali halisi ya biashara nchini Tanzania kuwa tete, nimefikiria na kuamua kuwekeza kwenye sekta ya Kilimo cha Nafaka na Mafuta. Tayari nimepata sehemu za kuanzia kama Kilosa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom