Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

MAX PIG SUPER MEAT VIRUTUBISHO ASILIA BORA KWA AFYA YA NGURUWE WAKO. ■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT. -Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na...
0 Reactions
0 Replies
368 Views
Naomba kupata uzoefu wa matumizi ya Mbolea za kukuzia katika kilimo cha mbegu zinazozalia chini...mfano karanga. Nimejaribu ku google lakini maelezo hayajitoshelezi Aidha nimeongea na wa kulima...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
TREY ZA HYDROPONIC FODDER- TSH 5000 Hydroponic Fodders ni sayansi ya kuzalisha chakula lishe cha wanyama chenye wingi wa Protein, kutokana na nafaka kama Ngano, Mahindi, Uwele, Mtama. FAIDA ZA...
0 Reactions
0 Replies
320 Views
♨️♨️ TREY ZA HYDROPONIC FODDER- TSH 5000 ♨️♨️ Hydroponic Fodders ni sayansi ya kuzalisha chakula lishe cha wanyama chenye wingi wa Protein, kutokana na nafaka kama Ngano, Mahindi, Uwele, Mtama...
1 Reactions
0 Replies
286 Views
Wadau naomba ufafanuzi kitaalamu na kwa wadhoefu waliowahi kutumia mbolea hii mavi ya popo ufanisi wake ni nzuri?na inafanya vizuri Zaid kwenye mazao Gani maana nina kama gunia 15 za kinyes Cha popo
2 Reactions
13 Replies
1K Views
TUNAUZA GRASS CUTTER MACHINE. Hii ni mashine ya kisasa ya kufyekea majani/nyasi fupi na ndefu ■Hutumia petrol kidogo mno na hukata eneo Kubwa. ■Licha ya kulevel bustani pia inaweza kupalilia...
1 Reactions
7 Replies
679 Views
MBUNGE EDWIN SWALLE ASEMA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA KILIMO UTAKUWA FARAJA KWA WAKULIMA Mbunge wa jimbo la Lupembe Edwin Swalle amesema kuwa utekelezaji wa bajeti ya kilimo ukienda vyema utakuwa...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
CONDESTER SICHALWE APONGEZA ONGEZEKO LA BAJETI WIZARA YA KILIMO Mbunge wa jimbo la Momba Condester Michael Sichalwe ameitazama bajeti ya wizara ya kilimo kama mkombozi kwa wakulima wa mahindi na...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
MBUNGE CHEREHANI: ONDOENI TOZO YA MIONZI KWA WANUNUZI WA TUMBAKU Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba Wizara ya Kilimo kuondoa tozo ya mionzi kwa nunuzi wa zao la Tumbaku, kwani...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Tunauza NIPPLE DRINKER SYSTEM kwa ajili ya kunyweshea kuku maji kwa usafi na ubora wa hali ya juu.nipple ni (Vifaa vya kisaaa ambavyo hutumika kuwapa kuku maji ya kunywa) FAIDA ZA NIPPLE...
0 Reactions
1 Replies
252 Views
WE SELL THE BEST CHICK INCORPORATING MACHINES. |FULL AUTOMATIC EGGS INCUBAROR| INCUBATOR PRICES PLASTIC BODY 👇🏿👇🏿👇🏿 ✅. 30 egg machine Price: 180,000 Tsh ✅️40 egg machine - 200,000 ✅. 60 egg...
2 Reactions
1 Replies
305 Views
NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI KUU YA SERIKALI YA WIZARA YA KILIMO, BUNGENI JIJINI DODOMA Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro tarehe 21 Mei, 20245 amechangia hotuba...
0 Reactions
3 Replies
381 Views
LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameelezea umuhimu wa uanzishwaji wa Mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji ndani ya Bonde la...
0 Reactions
1 Replies
292 Views
MASHINE YA KUKATIA NYASI NA MASHINE YA KUPALILIA MASHAMBA | BRUSH CUTTER MACHINE Call/Text/WhatsApp: +255 762 212623 Bei za hii BRUSH CUTTER MACHINE. 📌FOUR STROKE Kubwa: 700,000Tsh - Ya...
0 Reactions
2 Replies
424 Views
MBUNGE MWANAISHA ULENGE AITAKA SERIKALI KUKIWEZESHA KITUO ATAMIZI CHA MKONGE TANGA Mbunge wa Viti Maalum, Mhandisi Mwanaisha Ulenge amesisitiza umuhimu wa Serikali kuhakikisha fedha zilizotengwa...
0 Reactions
1 Replies
214 Views
Kama unahitaji kukusanyiwa pumba za mahindi na mashudu kwa bei nafuu sogea tufanye Biashara ASAP
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari ndugu mfugaji! 👋 Tunatengeneza App ya kusaidia wafugaji kama wewe kufuatilia chakula cha kuku, chanjo, matumizi na kupata faida zaidi 💪🐓 Tunaomba tusaidie kutengeneza App bora kwa ajili...
4 Reactions
15 Replies
811 Views
Naanza kwa kutoa experience yangu. Niliingia kwenye kilimo baada ya kushawishika na vipindi vya Clouds Media kuhusiana na fursa. Presenters walishawishi sana kuwa vijana hatujitumi na hatutumii...
76 Reactions
388 Replies
77K Views
Je, unafahamu kuwa ukiwa na ng’ombe mmoja wa maziwa, unaweza kujipatia kati ya Tsh 600,000 - 900,000 kila mwezi? 🤯 Hii ni fursa halisi kwa wale wanaotaka kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji wa...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari, Kati ya maeneo haya ni wapi kuna unafafu wa kununua ardhi (shamba) Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni ni kwa lengo la shughuli za kilimo cha umwagiliaji au Highlands yenye vipindi...
2 Reactions
2 Replies
529 Views
Back
Top Bottom