Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Baking soda ni rafiki mkubwa wa bustani: Hizi hapa ni matumizi 10 ya busara ya baking soda kwenye bustani. Dawa Asilia ya Kuvu: Changanya baking soda na maji pamoja na sabuni ya maji ili...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Habar za mda ndugu zangu. Leo nmependa kujumuika na vijana wenzangu ambao hawana ajira na bado wanalilia ajira nawapa pole sana. NIANZE HAPA;mm ni kijana wa miaka26 Sasa, nilizaliwa mkoani Tanga...
11 Reactions
51 Replies
5K Views
Ushauri wa bure kufuatia vita ya Uchumi inayosambaa kwa kasi duniani kote
0 Reactions
13 Replies
570 Views
Je, ni utaratibu upi unaotumika kuivisha ndizi za biashara? Kuna jambo la kutatiza kiasi kuhusiana na ndizi za biashara, kawaida ndizi huchukuwa muda wa angalao siku nne kuiva, laiki uivaji wake...
1 Reactions
4 Replies
581 Views
Habari , Kwa yeyote anaeweza ku supply Mtama mweupe au mwekundu wenye vigezo hapo chikini kwa kiasi chochote , Tuwasiliane Vigezo Aina : Mweupe na Mwekundu Moisture / Unyevunyevu - Usizidi 14%...
2 Reactions
7 Replies
629 Views
Habar ya leo, Baada ya miaka 5 kutoka mwaka huu (2024) nategemea kuachana na ajira ya serikali. Nimeamua kuanzisha kilimo cha Korosho Manyoni - Singida. Pamoja ukweli kuwa zao hili ni geni...
8 Reactions
85 Replies
6K Views
Habari wapambanaji? Mimi ni kijana mpambanaji,katika kilimo cha mahindi na alizeti,ila mwakan nataka nijikite zaid kwenye ufugaji wa nguruwe na mbuzi wa nyama,nimewajia hapa ili kupata experience...
6 Reactions
5 Replies
7K Views
Katika miaka ya hivi karibuni, sekta ya ufugaji nchini Tanzania imekumbwa na changamoto nyingi, hasa uhaba wa malisho unaotokana na mabadiliko ya tabianchi, ongezeko la watu, upungufu wa ardhi, na...
0 Reactions
3 Replies
678 Views
Unasikia vizuri kabisa! Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukuingizia hadi Tsh 900,000 kwa mwezi ✨ Ushuhuda huu unatoka kwa wafugaji waliopata ✅ Ng’ombe Bora ✅ Mafunzo ya Kitaalamu kutoka kwetu! Na...
3 Reactions
65 Replies
3K Views
Tatizo la soko sasa limepata suluhisho rahisi na la moja kwa moja! Sasa kupitia Blog yetu ya Tanzania na Kilimo 👉 TANZANIA NA KILIMO Unaweza kUUZA au kUNUNUA bidhaa na zana mbalimbali za kilimo...
0 Reactions
4 Replies
405 Views
Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na...
3 Reactions
4 Replies
806 Views
Mfugaji au mtu yoyote unaetaka kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na unatamani kufuga aina ya Fresian, usidanganyike kwa Mabaka 😅 Leo tunaendelea na somo letu maalum kwenye group la mafunzo ya...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wadau wa kilimo poleni na majukumu, misimu ya kilimo hii kama tunavyojua kipindi hichi kumezuka mbolea nyingi sana za makampuni tofauti tofauti za vimiminika (booster) ,na wakulimu...
4 Reactions
12 Replies
825 Views
Usifuge mbwa wa kinyonge fuga mbwa wakatili na gharama kama came corso, pitbull,dogo argentino, rottweiler ambao hata akizaa unauza bei nzuri unapata faida Achana na mbwa koko hawa wala mavi au...
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Wanajamii habari zenu ;;?? Heri ya pasaka kwa wale wageni na page hii ni NDARO muuza dagaa kandq ya ziwa kwa hapa jamiforum nafahamika kama mtumishi yaani nawatumikia jamii sio vingine. Yoyote...
0 Reactions
5 Replies
672 Views
Watanzania wengi nikiwemo mimi tuneisha ingizwa mjini na hawa wahuki walioko Morogoro wanao dau wao ni Sokoine University na wanauza miche kumbe sio kweli. Jana kuna Mzee wangu kanunua miche kwa...
11 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari za Ijumaa kuu ndugu zangu, Nilipata ushawishi toka kwa jirani yangu baada ya kuona nipo na eneo kubwa nifanye kilimo kitanitoa hii ni baada ya kupoteza kazi ili niachane na kuombaomba,sasa...
4 Reactions
8 Replies
666 Views
Kwa ambae ana connection na soko la soya msaada tafadhali. Mzigo upo mwingi.
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Habarini wana JF. Naomba kujua soko la zao la beetroot. Mmea huu ingawa hausikiki sana miongoni mwa watanzania, ukijaribu kwenda sokoni unakuta inauzwa ghali kuliko mboga mboga zingine. Nimewaza...
4 Reactions
6 Replies
620 Views
Je Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom