Je, unajua ukubwa wa shamba lako? Je, umechunguza hali ya udongo unaotumia kila msimu?
Kufanya kilimo bila taarifa hizi ni sawa na kuingia kwenye giza nene bila tochi!
Leo #RubabaTV tupo...
Nipo Mbeya nafanya shughuri ya ufugaji wa kuku wa kienyeji. Mwanzo mradi ulienda vizuri sana lakini nimekutana na changamoto ambayo imenifanya nianze upya.
Wazo nililonalo ni kufanya kilimo cha...
REJEA SOMO TAJWA hapo juu natafuta sungura watatu moja dume mawili majike kwa ajili ya kufuga... wawe ni ile mbegu yenye umbo kubwa...waliopo maeneo ya jirani na kahama njoo dm...tupange biashara
MAX PIG SUPER MEAT
VIRUTUBISHO ASILIA BORA KWA AFYA YA NGURUWE WAKO.
■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT.
-Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo...
MBUNGE CHEREHANI ASEMA TUMBAKU BORA HUANZIA SHAMBANI
Wakulima wa zao la Tumbaku hapa Nchini wameaswa kuzingatia kanuni bora za kilimo cha zao hilo ili kuzalisha kwa tija na kupata soko la uhakika...
MBUNGE BUTONDO ASHAURI PEMBEJEO ZA KILIMO CHA PAMBA KUTOLEWA MAPEMA
Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Mhe. Boniphace Butondo ameishauri Serikali kusambaza pembejeo za kilimo cha zao la...
KITABU CHA KUPUNGUZA GHARAMA ZA UFUGAJI KIPO TAYARI,
SOFT COPY NI TSH 2000.
HARD COPY 20000.
KITABU KIPO MAKTABA YA TAIFA KWA UWEZO WA ALLAH.
NJOO INBOX KAMA UNAHITAJI.
SURA YA KWANZA
VYAKULA...
Habari wanajamii,
Mimi ni mdau ninayepanga kuanzisha mradi wa ufugaji endelevu na salama kiafya hapa Dodoma. Lengo kuu la mradi huu ni kuzalisha bidhaa za mifugo kama nyama, maziwa, mayai na...
MAX PIG SUPER MEAT
VIRUTUBISHO ASILIA BORA KWA AFYA YA NGURUWE WAKO.
■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT.
-Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na...
Naomba kupata uzoefu wa matumizi ya Mbolea za kukuzia katika kilimo cha mbegu zinazozalia chini...mfano karanga.
Nimejaribu ku google lakini maelezo hayajitoshelezi
Aidha nimeongea na wa kulima...
TREY ZA HYDROPONIC FODDER- TSH 5000
Hydroponic Fodders ni sayansi ya kuzalisha chakula lishe cha wanyama chenye wingi wa Protein, kutokana na nafaka kama Ngano, Mahindi, Uwele, Mtama.
FAIDA ZA...
♨️♨️ TREY ZA HYDROPONIC FODDER- TSH 5000 ♨️♨️
Hydroponic Fodders ni sayansi ya kuzalisha chakula lishe cha wanyama chenye wingi wa Protein, kutokana na nafaka kama Ngano, Mahindi, Uwele, Mtama...
Wadau naomba ufafanuzi kitaalamu na kwa wadhoefu waliowahi kutumia mbolea hii mavi ya popo ufanisi wake ni nzuri?na inafanya vizuri Zaid kwenye mazao Gani maana nina kama gunia 15 za kinyes Cha popo
TUNAUZA GRASS CUTTER MACHINE.
Hii ni mashine ya kisasa ya kufyekea majani/nyasi fupi na ndefu
■Hutumia petrol kidogo mno na hukata eneo Kubwa.
■Licha ya kulevel bustani pia inaweza kupalilia...
MBUNGE EDWIN SWALLE ASEMA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA KILIMO UTAKUWA FARAJA KWA WAKULIMA
Mbunge wa jimbo la Lupembe Edwin Swalle amesema kuwa utekelezaji wa bajeti ya kilimo ukienda vyema utakuwa...
CONDESTER SICHALWE APONGEZA ONGEZEKO LA BAJETI WIZARA YA KILIMO
Mbunge wa jimbo la Momba Condester Michael Sichalwe ameitazama bajeti ya wizara ya kilimo kama mkombozi kwa wakulima wa mahindi na...
MBUNGE CHEREHANI: ONDOENI TOZO YA MIONZI KWA WANUNUZI WA TUMBAKU
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani ameiomba Wizara ya Kilimo kuondoa tozo ya mionzi kwa nunuzi wa zao la Tumbaku, kwani...
Tunauza NIPPLE DRINKER SYSTEM kwa ajili ya kunyweshea kuku maji kwa usafi na ubora wa hali ya juu.nipple ni (Vifaa vya kisaaa ambavyo hutumika kuwapa kuku maji ya kunywa)
FAIDA ZA NIPPLE...
NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI KUU YA SERIKALI YA WIZARA YA KILIMO, BUNGENI JIJINI DODOMA
Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro tarehe 21 Mei, 20245 amechangia hotuba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.