Mzanin/Tajir wa noah ya kazi

Hafidhibrahim

Senior Member
Nov 4, 2014
142
32
habar ndg za kaz, naitwa hafidh nimejitokeza kwenu kutafuta mzamin au tajir atakae weza ninunulia noah au ata km anayo kunikabidh kwa ajir ya kaz mm ni dereva ntakua nakuletea hesabu kila cku kiac cha 50000/= kila cku. na kuusu uaminifu mzamin atakua ni mama yng. napenda tanguliza shukran zng kwenu.mawacliano 0713844841
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom