Kuanzisha Garage

lionhard

Senior Member
Jul 16, 2015
194
43
Habari wana JF,

Ndoto zangu ni kumiliki Garage.

Ningependa kujua yafuatayo;

1.Gharama za kuanzisha Garage.

2.Sehemu nzuri kwa shughuli hii inapaswa iweje

3.Usimamizi wa Garage upo vipi? maana nasikia ni mgumu Sana.

4.Inalipaje?

5.Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanzisha Garage.

NAOMBA KUWASILISHA
 
Back
Top Bottom