Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

semina ya biashara itafanyika mby mbalizi. ukumbi wa royal tughimbe saa tisa alasiri jumapili hii tarehe 11/10/2015 karibu mafunzo ni bure. wasiliana nami 0753491777 au 0715167030 mwenyeji wako
0 Reactions
2 Replies
1K Views
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS – Part 14 “Most traders will quit and stay away from trading after blowing up a few trading accounts. But those with grit will constantly reflect upon...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
ELIMU BIASHARA NIMEWAONA... Kuna utofauti wa kusoma na ukaelewa, na kusomewa na kuelezewa. Walisema "Behind every succesful man there is a woman", wengine wakabisha wakasema aliyetunga alikua...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndugu wadau, kwakutumia aina yeyote ya mbao, nafanya finishing ya ndani kutumia mbao zilizotengenezwa kwa mashine maalum ya kazi hiyo! Bei hutokana na aina ya mbao mteja atakayo itaka itumike...
3 Reactions
20 Replies
8K Views
Wanajamvi Mimi napenda sana ufugaji hasa Huu wa kuku wa kienyeji..... Lakini huku mtaani kwetu kumekua na watu waliowahi kufuga na wakakaribia kufanikiwa kabisa kwakua na kuku zaidi ya 300...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanajamvi Mimi nasoma sana topic zenu za ufugaji kuku hasa wa kienyeji name navutiwa sana kuwafuga ila nahitaji kujua he nikitumia chanjo inaweza kweli kulinda kuku Wang kwa ugonjwa kama...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
ELIMU BIASHARA NI CHANGAMOTO TU, USIHISI TULIANDALIWA KUFELI? Inawezekana katika maisha yetu tuliyokulia tangu tukiwa watoto tumekuzwa katika Maisha ya kuogopa au kuogopeshwa. Kila ukifanya kitu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama kichwa hapo juu, ukipewa 500,000/= utaifanyia nini katika mazingira uliyopo ili baada ya siku au mda flani iwe msaada kwako? (neno binti litafsirike kuanzia miaka 18-25)
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Japokuwa watu wengi wamekuwa wakiogopa changamoto za biashara ya Daladala lakini mimi sitaacha kamwe biashara hii labda ziungue zote na moto halafu niwe sina pesa ya kununulia nyingine. Karibuni...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
Pole na majukumu wana jamvı.Naomba mnisaıdie uelewa kwa kuniwezesha kufahamu juu ya upatikanaji wa soko la mkaa pamoja na asali jijini DSM.Pia changamoto ziambatanazo na bıashara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ufugaji wa bata mzinga unalipa xana hukua haraka miezi mitano tu pia huuzwa kabei ya laki moja mpk moja na nusu fuga bata mzinga uage umaskini
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Nimelima heka tano za matikiti mkoani pwani karibu na ruvu. Yapo vizuri yanakuwa tayari ndani ya wiki moja ijayo.. Aina ya mbegu ni sugar king f1 hybrid.. wahi sasa tuwasiliane kwa oda..
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari, kwa wanaohitaji karoti za kununua kwa jumla wanitafute, namba yangu ni 0713769013, Mzigo upo wa kutosha muda wowote kwa sasa. Karibuni
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kazi kubwa sana unayohitaji kufanya baada ya kumpata mteja ni kuhakikisha anaendelea kuwa wako, yaani anaendelea kufanya biashara na wewe. Wafanyabiashara wengi wamekuwa wakitumia nguvu kubwa...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa wale wanaohitaji majogoo Chotara kwa ajiri ya parental stock(kuku wazazi),wapo jogoo 70 jamii ya black austrop,Rangi ya kanga,na mchanganyiko mwingine,jogoo hawa wana kama kilo 3,wanapatikana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari!!! Kuna mtu aliniagiza kutafuta soko la mbao nje, nimepata wanunuzi ila wame demand waone scanned copy ya vibali vyake vya biashara kwanza. Mpaka sasa vibali kutumwa imekuwa issue...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
High quality IT Training Courseware for Individual and organization for more information call 0689-633877 demo coursewares are attached here .
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Habarini za loe wana jamiiforum, Ninaomba mwenye uelewa wa biashara ya hisa na jinsi inovyo fanywa na faida inapatikana vipi anipe mwongozo.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam Kwenu Wakuu. Ama baada ya salaam. Ningependa kutanguliza shukran zangu kwenu nyote kwa ujumla. Kama mada inavyojieleza, naomba kujuzwa bei elekezi ya kuku wa kisasa wa nyama...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
FURSA YA KIFEDHA KWA WAJASIRIAMALI WA KUKU NA MAHINDI Je wewe ni mjasiriamali? Je ungependa kukuza biashara yako? Kama ni msindikaji wa chakula una kuku, mzalisha ji wa vifaranga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…