Ufugaji wa Bata Mzinga

Ufugaji wa Bata Mzinga

culboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
526
Reaction score
48
Ufugaji wa bata mzinga unalipa xana hukua haraka miezi mitano tu pia huuzwa kabei ya laki moja mpk moja na nusu fuga bata mzinga uage umaskini
 
Wanunuzi wenyewe mbona ni wachache sana?
 
Kama ni hivyo inabidi niwaogope kuwala hawa ndege. Miezi mitano tu kuwa tayari na ule ukubwa uliotuambia wa kilo 15 ina maana wanalishwa madawa sana ambayo ni hatari kwa afya zetu.
 
Ufugaji wa bata mzinga unalipa xana hukua haraka miezi mitano tu pia huuzwa kabei ya laki moja mpk moja na nusu fuga bata mzinga uage umaskini

mkuu, bata bukini wanachukua muda gani mpaka kuanza kupanda/kupandwa, pia ni dalili gani zinaonekana muda huu ukifika?
 
Ufugaji wa bata mzinga unalipa xana hukua haraka miezi mitano tu pia huuzwa kabei ya laki moja mpk moja na nusu fuga bata mzinga uage umaskini

Aisee waambie watu ukweli ufugaji wa bata mzinga sio rahisi kama watu wanavyofikiri. Kazi ya kuwalea vifaranga wa bata mzinga ni ngumu sana na inahitaji umakini wa hali ya juu, death rate ya vifaranga wa bata mzinga ipo juu.
 
Soko liko wapi? mimi nimefuga kwa hobi tu ila wanakula balaa.....
 
Wanunuzi wenyewe mbona ni wachache sana?

kama upo arusha vizia sikukuu ya Thanks giving na chrismas utauwauzia wazungu kwa kuwa wao ni tradition yao ila kwa wabongo soko bado ni dogo.
 
Soko lake nikubwa tu hata vifaranga hawafi sana wanapenda usafi tu
 
soko la kuvizia wazungu na siku kuu ni kutiana umasikini tu
 
Nina bata mzinga wakubwa kwa wadogo mpaka mayai anayehitaji aniPM IMG_20140531_184447.JPG
 
Back
Top Bottom