marcusgarvey
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 891
- 235
Kwa wale wanaohitaji majogoo Chotara kwa ajiri ya parental stock(kuku wazazi),wapo jogoo 70 jamii ya black austrop,Rangi ya kanga,na mchanganyiko mwingine,jogoo hawa wana kama kilo 3,wanapatikana Dodoma mjini,bei 17000,maongezi yapo,kwa anayehitaji anistue nimpe contact