Kwa mwenye uhitaji wa soko la mbao nje

Kwa mwenye uhitaji wa soko la mbao nje

pdz

Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Habari!!!
Kuna mtu aliniagiza kutafuta soko la mbao nje, nimepata wanunuzi ila wame demand waone scanned copy ya vibali vyake vya biashara kwanza. Mpaka sasa vibali kutumwa imekuwa issue (Sielewi sababu kwanini mpaka now havijatumwa)
So kwa muuzaji wa mbao anayeweza ku supply mzigo na mwenye vibali vinavyotakiwa tuwasiliane.
 
Back
Top Bottom