Habar wana jamii forums mimi ninataka kuanzisha mradi wa kufuga samaki ila sijui chocjotr kuusu mradi huo na ninahitaj ushaur maelekezo kwa yeyote mwenye ujuzi huoo ..kwani eneo husika ninalo...
Ndugu zangu natafuta mtaalamu ambaye atanishauri kuhusu banda, vifaranga, madawa na ufugaji mzima wa kuku wa kienyeji na wa kisasa. Pliz inbox kama upo maeneo ya jirani. Naishi Masaki DSM.
Bei Bei ni laki moja tu Kwa heka
Zinauzwa kuanzia hekali kumi na kuendelea
Yanapatikana ktk tarafa ya Lupembe mkoani njombe
Kwa mahitaji wasiliana nami kwa simu namba 0764426929,0655726929 na...
Mimi nina mbwa wang ndoo amezaa mara yake ya kwanza sasa sema hataki kuwanyonyesha watoto wake anawalalia tu amezaa vitoto saba kala kimoja kingine kimekufa ...naombeni msaada wenu ili mbwa wangu...
Je, Muda wa kutumia mimea ambayo vinasaba vyake vimebireshwa nchini Tanzania umefika?
Karibu tujadiri hii kitu kitaalam maana nimeona kuna mijadala inaibuka juu ya matumizi ya GMO hapa kwetu.
Ndugu wajumbe, nimevutiwa sana na kilimo cha umwagiliaji wa matone hasa kwa kilimo cha kahawa eneo nililopo hivyo basi ningeomba wazoefu na wataalam wa kilimo wanisaidie juu ya vifaa...
Naomba kuuliza, hivi inawezekana?
Nataka kufuga Kuroiler kwa ajili ya nyama hadi Chrismass niwauze kwa ajili ya nyama.
Mabanda yapo na nitakuwa nawalisha chakula cha kiwandani.
Imebaki kama...
Welcome to nginx!<br /><br />Ceos Tanzania hub ni group la whatssap linalokutanisha Wadau wa biashara kutoka mikoa Tofauti Tanzania lengo ni kujadili, kupeana Elimu inayohusu Uongozi, Ujasiliamali...
NORDICDRY Ni kama cotton' Inakuwa kama mfuko una hanger. Kazi ya hiyo ni kunyonya moisture, Kama kuna mazao ktk ghala ukiweka inanyonya moisture kwa hewa. Ikijaa inakuwa na maji unatupa. Box moja...
Wewe uliyeajiriwa upo ofisini, acha kudhalau na kuwaona vijana kama hawana jipyaa kisa wapo tu wanasubiri ajira
Eti nendeni mkalime huko vijijini, akishalima, akavuna apeleke wapi??
Viwanda...
Salaam wanajamvi,Baada ya kuwa msomaji na mfuatiliaji mzuri wa makala na ushuhuda wa wafugaji hapa jukwaani nikashawishika kuwaanza hii shughuli.Wiki iliyopita nikaenda morogoro nikanunua matetea...
Ninaomba ushauri nahitaji kununua incubeta kwa ajili ya kutotolesha mayai naomba nijue ni haina gani ya incubeta inafaa na mchanganuo wa bei hata zinapopatikana
Mimi naishi mjini, wala si mkulima kwa practice, bali kwa taaluma.
Mwaka jana kuna mbolea ya ruzuku 'ilikuja' mtaani kwetu nami nikajipati mfuko mmoja UREA na miwili ya DPP. Nilichukua nikaweke...