Namna ya kulinda shamba dhidi ya nyani

Namna ya kulinda shamba dhidi ya nyani

Rocky City

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2017
Posts
1,010
Reaction score
811
Habari zenu wana jf
Naomba niende kwenye ombi langu tupeane uzoefu namna ya kuzuia nyani shambani (njia rahisi) nimejalibu kutumia sum lakini mafanikio machache sana ,naombeni msaada tafadhali
 
Nunua subwoofer weka shambani alafu washa mziki, sidhani kama watakuja ng'aa eneo hilo.
 
Kamata nyani mmoja kisha mchune ngozi yake kisha mwachilie. Kadri anavyo wafata wenzake ndio wanahama sehemu/shamba usika.
Nae atafia umbali mkubwa n shamba/sehemu yako. Kamata wengi uwezavyo wakiwa hai kisha wafanya ivyo mkuu.
Usisite kurejesha mrejesho hapa. All the best amigo
 
nunua mtambo wa kitecnologia unaotoa sauti ambayo nyani akiisikia anaona kama wenzake wanauwawa huko. Hakanyagi.
kuna jamaa amedisgn kwa small scale yenye uwezo wa kufukuza kama heka mbili hivi yuko VETA.
Ingawa mchina akijua shida hii anaweza kutengeneza, wa kufukuza hata heka mia.

ushauri tu, ila ni gharama.

Ukitaka ushauri wa jadi...
Weka kambi, fuga mbwa angalau watatu...
 
Kama ni mahindi hapo lazima kila kiumbe awe mbambe kwa mwenzake, unatakiwa utafute nguvu kazi pamoja na usaidizi wa mbwa.
 
Kamata nyani mmoja kisha mchune ngozi yake kisha mwachilie. Kadri anavyo wafata wenzake ndio wanahama sehemu/shamba usika.
Nae atafia umbali mkubwa n shamba/sehemu yako. Kamata wengi uwezavyo wakiwa hai kisha wafanya ivyo mkuu.
Usisite kurejesha mrejesho hapa. All the best amigo
Ahsante mkuu nitakza roho nifanye hivyo japo kumkamata napo shida kidogo
 
nunua mtambo wa kitecnologia unaotoa sauti ambayo nyani akiisikia anaona kama wenzake wanauwawa huko. Hakanyagi.
kuna jamaa amedisgn kwa small scale yenye uwezo wa kufukuza kama heka mbili hivi yuko VETA.
Ingawa mchina akijua shida hii anaweza kutengeneza, wa kufukuza hata heka mia.

ushauri tu, ila ni gharama.

Ukitaka ushauri wa jadi...
Weka kambi, fuga mbwa angalau watatu...
Bei gani mkuu
 
Aisee umenikumbusha mbali sana enzi za kulinda nyani unaamshwa sa10 uwahi sambani kuwasha moto maana nyani wanatabia ya kuwahi alfajiri kabisa. Mbinu moja wapo tuliyoitumia tulitengeneza lisanamu mithili ya mtu limeshika upinde kama linataka kumlenga mtu hv alafu unalitegesha maeneo yale ambao nyani wanapenda kutokea/kuingilia shambani.
Hili lisanamu unaweza litengeneza tu na miti na matambara kichwani unalivalisha kofia lionekane la kiume maana nyani huwa haogopi wanawake
 
Kamata nyani mmoja kisha mchune ngozi yake kisha mwachilie. Kadri anavyo wafata wenzake ndio wanahama sehemu/shamba usika.
Nae atafia umbali mkubwa n shamba/sehemu yako. Kamata wengi uwezavyo wakiwa hai kisha wafanya ivyo mkuu.
Usisite kurejesha mrejesho hapa. All the best amigo
nyingine ni kuwapaka rangi lazima wenzake wamkimbie tuu
 
Habari zenu wana jf
Naomba niende kwenye ombi langu tupeane uzoefu namna ya kuzuia nyani shambani (njia rahisi) nimejalibu kutumia sum lakini mafanikio machache sana ,naombeni msaada tafadhali
feedback mkuu --
 
Back
Top Bottom