Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

habari zenu wakuu nadhani tunaendelea vyema kuijenga nchi yetu nilikua naomba ushauri nmepata shamba la eka tano maeneo ya bagamoyo nlkua nataka nilime mahindi ila kwa kilimo cha kisasa kwa mdau...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Habari wana jamii, Kama kinavyosomeka kichwa cha habari mimi ni mdau ambae ni mgeni katika mambo ya kilimo ila nimeamua niweke nguvu zangu huko. Nimelima mpunga ekari 5 msimu huu na ninahitaji...
0 Reactions
10 Replies
24K Views
Kama huna mtaji wa biashara ya mazao ya vyakula soma hapo na kama unahitaji kununua mazao kwa gharama nafuu kutoka mikoa mbalimbali kwa kusafirishiwa bure soma hiyo pdf. Ahsante NB:nimecopy na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Samahanini wanajf nimepanda mbegu za mstafeli lakini mpaka sasa bado hazioti na hii ni kama wiki ya pili sasa. Sijujua nimekosea wapi naomba kwa anayejua anieleweshe
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni mfugaji mdogo mdogo wa ndege aina ya kanga nimekuja hapa kuomba msaada Mifugo zangu zimekumbwa na ugonjwa wa mafua wote wakubwa kwa vifaranga nisaidieni jamani ni aina gani ya dawa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nataka kuanzisha shamba la mipapai na parachichi so wadau naombeni muniambie mbegu bora
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar wakulima wenzangu, poleni na majukumu najua wengi mko busy na shughuli za kilimo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali ya nchi. Shime tupande mazao yanayokomaa kwa muda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar wakulima wenzangu, ushauri wangu kwa wale wanaoishi mjini wakumbuke kuwatumia fedha kwa ajili ya kilimo kwani wanateseka sio kusubiri kipindi cha mavuno kwenda kufungasha tu
2 Reactions
8 Replies
986 Views
Mafunzo ya kuandaa Tender za Serikali Vencha Corporation inakuletea mafunzo ya kuandaa tender za serikali zenye uwezo wa kushinda. Bajeti ya serikali ni Trilioni 32.4 na Trilioni 12 zitatumika...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni mfugaji wa kuku, nguruwe na ng'ombe Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na utitiri wa maduka ya kutengeneza vyakula vya Mifugo ambayo havina ubora. Bahati mbaya watengenezaji hao hawana...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wana Jamiiforum... Natokea maeneo ya mkoa wa Katavi-Mpanda.... Aisee napenda kufanya biashara ya mazao lakini nakosa misingi jinsi ya kuanza.... Naombeni mawazo kutoka kwa wahenga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba namba ya mtu anaefanyia kazi kituo cha Ufugaji Kitulo au mwenye namba ya kituo chochote cha ufugaji kilichopo Mbeya.Msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Ningependa kujua bei y kiroba ya kilo mia Cha mihogo
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Why we focusing on Rain water harvesting? It is simply that most of areas receive at least 600mm as total annual rainfall, this amount is big if we invest in rain water harvest (charcoal dam) ...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wahenga, naomba ushauri wa kitaalamu kutoka kwenu hasa kwa wale ambao ni wafugaji wa kuku. Nina mradi wa kufuga kuku wa kienyeji, napata changamoto wakati kuku wanapoumwa ugonjwa wa homa ya...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nilianza safari ya ufugaji mwaka Jana mwenzi wa sita kwakununua vifaranga mia kila kifaranga nilinunua elfu mbili na miasita niliweza kupambana navo katika vifaranga mia vilikufa vifaranga vitano...
15 Reactions
19 Replies
8K Views
Hakikisha unatumia dawa za asili katika mazao yako Dawa za asili zimekuwa zikitumika mara nyingi hasa katika kilimo hai na yameonesha mafanikio kwa kiasi kikubwa. Wakulima na wafugaji hawana...
1 Reactions
5 Replies
18K Views
Habari zenu wakuu, Hivi biashara ya duka la jumla la vitu mbalimbali inahitaji mtaji wa kiasi gani? Na inawezekana kumweka mtu na akafanya biashara hii kwa uaminifu na wewe ukaendelea na mambo...
1 Reactions
39 Replies
49K Views
Habari wadau, Nina eneo langu maeneo ya Kisarawe ninahitaji kupandikiza miche ya Korosho. Ardhi yangu ina asili ya tope kipindi cha mvua inatereza sana na wakati wa ukame inakua kama imeganda...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wakuu wa ninampango wakuamishia Mipango yangu ya kilimo Wilayani panagni mkoa wa Tanga, mwezi huu ninampango wa kutembela huko sijawaifika. So please najua Jamiiforum ni kisima cha kila...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…