Nahitaji Mshamaba Bonde la Mto Pangani

Nahitaji Mshamaba Bonde la Mto Pangani

BABU KIDUDE

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
1,587
Reaction score
918
Habari wakuu wa ninampango wakuamishia Mipango yangu ya kilimo Wilayani panagni mkoa wa Tanga, mwezi huu ninampango wa kutembela huko sijawaifika. So please najua Jamiiforum ni kisima cha kila kitu. Mwenye Tarifa za upatikanaji wa msahamba panagni haswa kwenye Bonde la mto pangani mashamaba yoyote yalio au yanayofikiwa na maji please tupeane taarifa
 
Back
Top Bottom