Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wakuu habari za majukumu! Kutokana na ukosefu wa ajira nimepata wazo la kufuga kuku wa nyama baada ya kufanya utafiti wa soko la hao kuku.Napenda niongelee moja kwa moja kuwa kwa sasa sina idea...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu!! Katika Miaka ya hivi karibuni kumetokea Wadudu (mafinyo) kwenye Zao la Mahindi. Wadudu hao wamekuwa wakiharibu Mazao haya ya Mahindi na kupelekea Mmea kushindwa kuweka...
1 Reactions
22 Replies
18K Views
Wadau, wataalamu na wakulima wa korosho, bila shaka mmesikia ugonjwa wa kunyauka kwa miti ya mikorosho ulioikumba Mkuranga. Naomba kuuliza, je ugonjwa huu unaweza kuenea mpaka Kilwa, Lindi na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ningependa kujua namna ya matumiz nimekusanya ninayo gunia kama mbili nataka kuweka kwenye matikit,nyanya na vitunguu msaada namna ya kuwekea
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Habar ndugu zangu mimi kijana mwezenu natafuta mkulima anaye lima matikiti tufanye biashara kama Kuna mtu ani pm fast
0 Reactions
2 Replies
897 Views
Jamani naomba anayeijua vizuri mbegu nzuri ya mahindi ya kuchoma yanayoweza kukomaa baada ya muda mfupi. Nitashukuru kujua hilo
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Katika miaka ya hivi karibuni,na hasa mwaka huu,tumeona uharibifu mkubwa wa zao la mahindi na viwavi aina ya Maize Stalkborers.Zipo dawa za kudhibiti wadudu hao,lakini dawa hizo ni ghali kwa...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Habarini.... Ndugu wanajukwaa naomba kutoa wito,kama mtu umeamua kuwa mkulima wa zao fulani,zalisha kwa wingi ili jamii ikufahamu kupitia uzalishaji wako.Kama mtu kaamua kuwa mfugaji basi fuga kwa...
10 Reactions
7 Replies
2K Views
Naamini mungu ni mwema anazidi kutupigania na hali zetu. Waungwana nimefikiria na kupenda kulima zao la vitunguu but sna ujuzi wowote. Nataka kufaham haya : # Namna ya ulimaji #...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Msaada kwa anaefahamu hii mbegu au mmea naomba anifahamishe ni mmea gani kwa kiswahili Natanguliza shukrani zangu wakuu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sina fedha,sina Godfather wala hati ya nyumba/shamba ila nina kitu kimoja tu kinachonitia moyo,yaani ki-saikolojia ninaamini kuwa nitakuwa settler hata kama si wa kiwango cha kutisha.Kuna members...
5 Reactions
103 Replies
16K Views
Habari za jioni ndugu zangu baada ya vyuma kuendelea kukaza nmeona nikimbie mji kidogo nijikite kwenye kilimo cha tikiti maji ambacho nimeona kitanitoa maana ni zao la muda mfupi miezi mi 3...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Uzalishaji wenye faida kwa ng’ombe wa maziwa huhitaji uangalizi wa karibu, unaowezesha kutambua ni wakati gani ng’ombe ana joto, hivyo kufanya uhamilishaji kwa wakati unaotakiwa. Kushindwa...
5 Reactions
10 Replies
17K Views
Habari za asubuhi,kuku wangu wangu wa kienyeji ambao nimeamua kuwafungia ndani wanakula gramu 200/kuku kwa siku badala ya gramu 120.Naomba mnisaidie hapo tatizo litakuwa ni nini?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wadau ningependa kujua kuhusu mchakato wa hii biashara ya kukusanya makopo ya plastiki na kuyayeyusha kisha kuuza viwandani ikoje. Mashine ya kuyeyusha inapatikana wapi na kwa kiasi gani...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…